Hawa tayari wana majengo mapya huko nje ya mji. Hii ni Message wanatumiwa kuwa wahame wayaache majengo yatumike kwa biashara.
Hatari. Hii mioto ina maana gani?Wapendwa, shule yetu ya Mkuza girls inaungua , tuwaweke watoto na wafanyakazi mikononi mwa Mungu!View attachment 2231850