Nilikuwa Mwanza kaka Wilayani
Hili tatizo limeniathiri hata mimi,tangu utoto sikukuu ikipa ile nguo ya sikuu unaambiwa na mzazi usishindie ni ya kutokea,Sasa nilivyokua nakua msichana yanikinunua nguo nzuri naifanya ya kutokea nyumbani nashinda na mitambala ya ovyo,kumbe sivyo ukubwani usafi ndo unausika zaidi.