MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Jamaa alikua fala sana.Kuweka kidukuzi kufuatilia mawasiliano ya simu kwa mpenzi wako,,
tena unayempenda sana,,
kunataka uwe na roho ngumu haswa,,
Vinginevyo utakuja kuaibika mwishoni.
Kuna rafiki yangu fulani alikuwa na msichana wake ,,
ambaye alikuwa anampenda sn ,,
Tena hata kwa kuangalia mapenzi yao kwa macho tu,
jamaa alikufa na kuoza kwa yule msichana mwanachuo..jamaa alimpenda Sana yule demu..
Baada ya jamaa kupigwa sn matukio na yule demu Kwa muda mrefu,,
Akaamua adukuwe mawasiliano ya mchumba wake,,
Basi sms pamoja na calls zote msichana akipigiwa na jamaa nae anazipata tena bila msichana wake kujuwa.
Siku Moja msichana akaaga atatoka kwenda chuo,,
Jamaa akamruhusu atoke lakini awahi kurudi,,
Yote hayo jamaa ni ktk kutaka kujikaza kiume,,
Lakini alikuwa anajuwa kila kitu demu wake anakwenda kwa msela kupigwa mbupu,,
Lengo lake ni kutaka kumkamata Kwa ushahidi akiwa na yule msela.
Demu kaita bodaboda,,,jamaa kuona bodaboda imefika,,,demu wake yupo juu ya bodaboda,,
Jamaa uzalendo ukamshinda akazuia bodaboda isiondoke.
Jamaa akaanza kupaza sauti Kwa kelele hata kujaza mtaa mzima,,
"Najuwa Kila kitu kwamba unakwenda kwa jamaa.."
Jamaa akaanza kulia kabisa mbele ya demu ,
"Nini umekosa kwangu"
Ikawa vurugu tupu...
Huwezi amini pamoja na matukio yote hayo,,
Lakini jamaa amemuoa hyo demu na ana watoto nae 2 tayari.
Ila amejiapiza kutodukuwa tena simu ya mkewe,,
Japokuwa bado hamuamini.
Hilo Bwana ni bwegeKuweka kidukuzi kufuatilia mawasiliano ya simu kwa mpenzi wako,,

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had machozi.Hii michezo ilinifanya kumkamata demu akiingiza njemba geto kwangu kwa kuzuga kuwa dadaake anakuja kumtembelea na atapenda afikie geto kwake. Tulikuwa tunaishi pamoja kiunyumba kama kawaida ya mchezo wa wanachuo ili kujihakikishia all time supply ya utelezi.
Nikaona nimpe chance alale na ndugu yake, kufuatilia convo kwenye tambo kumbe kuna njemba ilikuwa inaandaliwa shoo! Nlichokifanya nikawahi eneo la tukio nikabana chocho nikishuhudia chezo lote hadi njemba inaingizwa geto. Baada ya njemba kuingia tu nkavuta pumzi nkaenda kushika kitasa mara demu anafungua haamini kama ni mimi ndio nmemfumania.
Jamaa alikuwa ndo anaandaliwa maji ya kuoga chumba knanukia maua rose balaa, sitakaa nisahau ile siku. Bila demu kukimbia leo ningekuwa selo nanyea debe.
HaswaaaaahMtu hujamuoa unamdukua wa nin? Hata kumfumania mtu unatakiwa uwe na cheti cha ndoa kama hujamuoa sio wako
Sasa huyo ndio mzee wa kupambaniaKuweka kidukuzi kufuatilia mawasiliano ya simu kwa mpenzi wako,,
tena unayempenda sana,,
kunataka uwe na roho ngumu haswa,,
Vinginevyo utakuja kuaibika mwishoni.
Kuna rafiki yangu fulani alikuwa na msichana wake ,,
ambaye alikuwa anampenda sn ,,
Tena hata kwa kuangalia mapenzi yao kwa macho tu,
jamaa alikufa na kuoza kwa yule msichana mwanachuo..jamaa alimpenda Sana yule demu..
Baada ya jamaa kupigwa sn matukio na yule demu Kwa muda mrefu,,
Akaamua adukuwe mawasiliano ya mchumba wake,,
Basi sms pamoja na calls zote msichana akipigiwa na jamaa nae anazipata tena bila msichana wake kujuwa.
Siku Moja msichana akaaga atatoka kwenda chuo,,
Jamaa akamruhusu atoke lakini awahi kurudi,,
Yote hayo jamaa ni ktk kutaka kujikaza kiume,,
Lakini alikuwa anajuwa kila kitu demu wake anakwenda kwa msela kupigwa mbupu,,
Lengo lake ni kutaka kumkamata Kwa ushahidi akiwa na yule msela.
Demu kaita bodaboda,,,jamaa kuona bodaboda imefika,,,demu wake yupo juu ya bodaboda,,
Jamaa uzalendo ukamshinda akazuia bodaboda isiondoke.
Jamaa akaanza kupaza sauti Kwa kelele hata kujaza mtaa mzima,,
"Najuwa Kila kitu kwamba unakwenda kwa jamaa.."
Jamaa akaanza kulia kabisa mbele ya demu ,
"Nini umekosa kwangu"
Ikawa vurugu tupu...
Huwezi amini pamoja na matukio yote hayo,,
Lakini jamaa amemuoa hyo demu na ana watoto nae 2 tayari.
Ila amejiapiza kutodukuwa tena simu ya mkewe,,
Japokuwa bado hamuamini.
Sisi tunamuona bwege tu,,Sasa huyo ndio mzee wa kupambania
Hujanielewa mzee. Soma na uelewe kimtaa.Sisi tunamuona bwege tu,,
Hana cha kupambana wala chochote
Anapambamia nini Sasa wakati anapigwa na matukio kibao ?Hujanielewa mzee. Soma na uelewe kimtaa.
Soma upya.
DaaaahHii michezo ilinifanya kumkamata demu akiingiza njemba geto kwangu kwa kuzuga kuwa dadaake anakuja kumtembelea na atapenda afikie geto kwake. Tulikuwa tunaishi pamoja kiunyumba kama kawaida ya mchezo wa wanachuo ili kujihakikishia all time supply ya utelezi.
Nikaona nimpe chance alale na ndugu yake, kufuatilia convo kwenye tambo kumbe kuna njemba ilikuwa inaandaliwa shoo! Nlichokifanya nikawahi eneo la tukio nikabana chocho nikishuhudia chezo lote hadi njemba inaingizwa geto. Baada ya njemba kuingia tu nkavuta pumzi nkaenda kushika kitasa mara demu anafungua haamini kama ni mimi ndio nmemfumania.
Jamaa alikuwa ndo anaandaliwa maji ya kuoga chumba knanukia maua rose balaa, sitakaa nisahau ile siku. Bila demu kukimbia leo ningekuwa selo nanyea debe.
Duh! Mzee bado hujaelewa.Anapambamia nini Sasa wakati anapigwa na matukio kibao ?
Demu baada ya lile tukio akaomba waachane,,
Jamaa bado akajikaza amuache demu,,
Siku demu anakuja na kirikuu kusomba vyombo vyake jamaa kazuia tena kirikuu isiondoke...
Jamaa dhaifu sn.
Baadae alijikaza kiume ila siku demu anakuja kuzoa vyombo vyake alipiga mayowe kama kafiwa.Hilo Bwana ni bwege
Jamaa kafukua Mtaro nn?Uzi huu nimeuandaa baada ya kusoma post flani inatrend jukwaani muda huu kuna dada yetu anahisi mme wake anatumia ushirikina kujua mawasiliano yake ya watu anaoongea nao, Huenda ni kweli lakini kisa hiki kimenikumbusha mbali sana kwamba labda mme wake katumia mbinu niliyowahi kuitumia zamani kwa ex wangu kwa kuidukua simu yake nijue kila mahali alipo, mawasiliano yake, n.k. hii mbinu ilivuma sana enzi hizo kwa urahisi wa mbinu zilizokuwepo enzi hizo kuwezesha zoezi, kwa siku hizi sijajua maana sijafatilia na wala sina hamu.
Ilikuwa ni miaka ya 2015 hivi, nilikuwa na girlfriend wangu ambae niliingia tamaa ya kutaka kumpeleleza zaidi, alikuwa i kisu haswa na nikawa na insecurity ya kutaka kumfatilia zaidi.
Nikiri tu mimi ni fundi seremala lakini mambo ya tknolojia napendaga sana kuyafatilia.
Girlfriend wangu alikuwa ni mwana chuo ana kismartphone chake nilitaka nikidukue lakini kilikuwa na ulinzi imara kuzidi uwezo nilionao japo kuna watabe wanaeza kukifyatua.
Nilizama mfukoni nikaenda kumnunulia simu used kali kimtindo pamoja na risiti yake na mkataba wa pande mbili kwa mwanasheria (nilichajiwa elf 20).
Kwa kuwa nilishafanya research yangu simu hio wala haikunishinda kuidukua, Niling'oa kisiki cha mafaili (rooting) kisha nikaweka mtambo wangu amba enzi hizo ulikuwa unaitwa android lost na vitu vya ziada.
Huo mtambo unaweza kusikia sauti kwa kuifungua maiki mda wowote unaotaka, kujua ruti za mtu kwa kufatilia location, simu inaweza kupiga picha ma wowote bila mwenye simu kujua, mesej zote zinasomeka, call logs zote zinarekodiwa, screen shoots zote unapata, n.k.
Nilijiona mjanja sana ila kilichotokea ni maumivu tu.
Kwa vile dem alikuwa ni pisi kali, zile meseji za hi sweety, hi mrembo, n.k. zilikuwa hazikauki hata iwe ni mtu waliezoeana kawaida, hizi mesej zilikuwa zinawasha moto wa kifuu cha nazi kwenye mfumo wangu wa neva, kila mtu anaetuma meseji hizi nilichukulia dem wangu ananichiti.
Mesej za ma ex wake wengine walikuwa wanakumbushia nyakati walizopitia ikiwemo kwenye minyanduo, vitu vilikuwa vinanipa chuki na hasira sana hivi.
Kelele na ugomvi vilianza kuwa kawaida, sikumwambia nimedukuasimu yake ila nilikuwa namwambia kuna watu wameniambia, Nilikuwa na wivu uliopitiliza.
Siku niliyochapiwa !!
Ni siku ambayo walimaliza mitihani yao ya muhula, kuna jamaa nahisi ni ex wake walienda nae geto kwake, siku hio hata simu yake ilikuwa haipatikani, sasa kesho yake asubuhi ndio nimefungua mtambo naona jamaa natuma mesej, vp umefika salama, leo uje tena, naendela kufatilia ndio jamaa akaanza kuzungumzia mnyanduano wa jana yake na anaomba warudie tena, iliniuma sana !!. Huwezi amini nilijifanya sijui chchote ila yule dem ndio kwanza aliniletea zawadi ya t-shirt na akawa anazuga jana simu yake ilikuwa na matatizo flani. (nimesahau ).
Nikamkalisha kitako na kumwambia jana umenichiti na nikaanza kumchorea picha kuendana na huyo jamaa aliemkamua jana, alipiga magoti na kulia sana na kuomba msamaha sijui shetani kampitia machozi kama yote!! nadhani wengi mnajua kipaji walichonacho wanawake kwenye kulia, Kwa upande wangu nilikuwa nimeumia sana kwamba kuna jamaa kamcharaza mkwaju, Very painful.
Nilimtolea uvivu kuna vinguo nguo na kibegi alikuwa nacho hapo gheto vya siku akija kulala kwangu nikavifungasha ovyo ovyo nikamrushia hicho kibegi aondoke mara moja, alikuwa mbishi nami hasira zimenipanda nilimtandika vibao kama vitatu hivi timua nje kabisa nikafunga mlango, uzuri hio siku nilikuwa peke yangu hakuna wapangaji wengine.
Nilikuwa nafatilia mesej zake kwa wiki kama mbili alikuwa anachat na marafiki zake juu ya break up nami nilihisi pengine kweli kashetani kalimpitia ila ndio hivyo tena, kila nikikumbuka kuna jamaa kafukua hasira zinanijia fasta nashindwa kabisa kusamehe.
Hapo nimekuelewa mkuu,,Duh! Mzee bado hujaelewa.
Ile ni sarcastic comment.
Maana yake jamaa ni king'ang'anizi hata kwa kisichofaa kung'ang'aniwa.
Nikajua kukwambia soma tena utaelewa an inverse content ya post.