Niliwahi kumuona kama rafiki ila yeye alinitumia kama rasilimali, kakwama anataka msaada, Nimsaidie ?

Msamehe ila mwambie apambane. Hana adhabu wala heshima. Duh Mungu aniepushe na hayo mambo aisee.
 
Kama unaweza kumsaidia shida yake Anza na kutoa dukuduku lako,,,mwambie nitakusaidia lakini sikupenda hiki na hiki kutoka kwako,, kisha msaidie na sahau ,yaani usisubiri shukrani kutoka kwake,,,hivyo ndivyo alivyoumbwa usitake afanane na wewe kimtazamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…