Niliwahi kupenda nikaumizwa nimesha sahau natafuta mke

Niliwahi kupenda nikaumizwa nimesha sahau natafuta mke

Anatomist

Senior Member
Joined
May 16, 2020
Posts
183
Reaction score
248
Kuhusu Mimi;

Umri: Miaka 35

Kazi:Mwajiriwa Serikalini

Elimu:Shahada ya uzamili katika maswala ya anatomia ya binadamu.(Human Anatomy)

Familia/Mahusiano:Sina mtoto wala mke ingawaje niliwahi kukaa kwenye mahusiano ya kama wanandoa yalidumu kwa mwezi mmoja tu.

Dini:Mkristo

Ninaye mtafuta;
Umri :Miaka 30+
Dini/kabila lolote
Hata akiwa na mtoto saw a tu
 
Kwa umri wako mwanamke anayekufaa zaidi ni mwenye mtoto angalau uendelee kutoa stress kwa kucheza na mtoto uwapo home,
Na ukumbuke kumpenda mtoto zaidi kuliko mama ili naye mama awe anaendelea kukufikiria kukupenda kwa maana kuvuliwa ch*pi si sababu ya kupendwa!
 
Utapata tu. Ila usiwe desperate kutafuta haraka utakurupuka kuoa usiempenda ukajuta.
 
Wakakuumize tena maana hujielewi wewe, unapenda penda nini sasa?
 
Back
Top Bottom