Niliwahi kusoma novel kadhaa

Niliwahi kusoma novel kadhaa

Point of No Return 19

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2023
Posts
203
Reaction score
472
Kwenye hizi novel nilisoma,niligundua kuwa mwanaume asipokua na pesa hujifanya Ana mapenzi ya dhati mno
Na akishaipata huenda kwa wanawake wa type yake,!

Kwakuyagundua haya,

Nawaambia wanawake wenzangu acha kuanza 0 (zero) na mwanaume........

Kwasababu akipata atakukimbia tuuuuu

Happy new year
 
Pole sana

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Shida sio akizipata anakukimbia shida ni maneno na kauli chafu mnazompatia mwanaume akiwa kwenye hiyo shida,,, wanaume huwa tumeubwa na subira na kuweka kichwan vitu,, unaweza kumpat kejeri yeye akazi note kwenye fail la kichwa chake na siku akiwa sawa ndio huleta kumbukumbu kwa kile ulicho mfanyia na uzur waga hatusemi zaid ya kuwasimulia wana wenzetu wa jiran yale tunayopitia kwenye hizo mahaba zenu pia nisisahau kukwambia kingine tunavumilia ugwadu unajua unapokuwa huna hela afu uanze kukorofishana na mpenz wako
 
Back
Top Bottom