Niliwahi kutumia bandari ya Dar es Salaam zaidi ya mara 3

engmtolera

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
5,149
Reaction score
1,441





Kwanza TV
16 mins ·
“Niliwahi kutumia bandari ya Dar es Salaam zaidi ya mara 3, lakini kutokana na uaminifu mbovu na urasimu kwa taasisi za ukaguzi ghafla nikahamia bandari ya Mombasa, wasipodhibitiwa watu hawa bandari zetu zitakufa” Mkurugenzi wa Jayjey Ltd - Humprey Mosha. #KwanzaHabari

 
Utakuwa ulitaka kupitisha kwa njia za dili,vijana wazalendo wakakudhibiti ndio maana umeamua kuja humu kuleta majungu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umetumia mara tatu tu? Kusema ukweli siku hizi bandarini wanajitahidi. Hivi ukitumia bandari ya Mombasa ukileta mzigo Tz haukaguliwi?
 
Kweli majungu hayawezi kuisha, Hakuna kitu kipo imara kama Bandarini, binafsi naipongeza sana serikali ya awamu ya tano.


Bandarini napajua njee ndani zamani kulikuwa na maneno kama Mchuzi, Kolezo na n.k, tulio bahatika kufanya kazi na Bandari wanajua hayo maneno.

Sasa hivi bandari ipo imara kama chuma cha reli usitudanganye.. Watu kwa ajiri ya ukowadi walipata ajira na hao ndio walikuwa wapuuzi na wote Awamu hii wamepigwa chini vyeti fake na n.k

Nimekulia bandarini nimejua mambo mengi kwa ajiri ya yale maji, huwezi kunidandanya kizembe hivyo.


Big up Awamu ya tano mmesimama kidete na ipo wazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Umeongelea vyeti feki, wamjua bashite?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mangi bwana kwa kulialia kaza buti nyie si ndiyo mabingwa wa kutafuta hela.
 
Umeongelea vyeti feki, wamjua bashite?


Sent using Jamii Forums mobile app
Sizungumzi chuki binafsi nazungumzia Mafanikio ya bandari.

Nakumbuka nilikuwa napiga dili za kijanja janja, nilipo wekwa ndani baada ya serikali ya Awamu ya tano kuingia ndio nikajua nilikuwa nafanya makosa.

Awamu ya tano sitaisahau katika Maisha yangu imefanya Mengi mazuri sana japo ili nishikisha Adabu na kuyumba sana kiuchumi.

Nakumbuka tulikuwa tunapanga foleni kumpa mtu Rushwa duuh JPM hatari.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
KIUKWELI KUNA IMPROVEMENT KATIKA UTOAJI WA HUDUMA ZA BADARI NA HASA BAAADA YA TIMUATIMUA YA VYETI FEKI. NILISHANGAZWA SANA NILIPOKWEMDA KUMUULIZIA SENIOR MMOJA AMBAYE ALIKUWA NA NYODO SANA KUAMBIWA AMEONDOLEWAKWENYE ZOEZI LA VYETI FEKI WAKATI ALIKUWA AKINYANYASA WATEJA TULIFANYA KASHEREHE SISI WATEJA WA MAKONTENA MANA ALIKUWA NI KIKWAZO SANA CHA KUTIMIZA TAANZANIA YA VIWANDA.ALISHALAZA MAKASHA PALE BILA YA SABABUYA MSINGI ETI MALIPO HAYASOMI NA NINA USHAHIDI WOTE WA MALIPO NA HATA NILIPOKWENDA REVENUE WAKANAMBIAKAMA MALIPO YANASOMA ILA KWA UJUBA WAKE AKANIKATALIA IKABIDI NILALE ASUBUHI NILIPOKWENDA KWA MNAFIKI MWENZIWE LIUNDI NDO AKANISAIDIA NIKAYATOA
 

Mkuu huyo jiwe una taarifa kuwa kapiga 1.5 tr?Au hauko nchini, jiwe ni mpigaji kama wengine tu, pia ni mtu wa double standards, kama huamini sema lipi kalisimamia pasi kuleta upendeleo kwa kundi/kabila/ukanda flani?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali yaondoa baadhi ya tozo na masharti kwa wafanyabiashara wanaotumia Bandari ya Dar es Salaam - JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…