Niliwahi kuwa mkuu wa kitengo cha vinywaji harusini

Bado naitafakari hii fasihi andishi, naendelea kusoma kati baina ya mistari
 
Wewe mtanesco na mdactari...[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂 daah we jamaaa!

Sasa mkuu wa kitengo unakaaje dar miaka mitatu hujui majina ya beer za uefa na caf?
 
~ kuna dogo hapa kitaa ana meno mengi sana yamejaa mdomo hawezi kupumua kama ana corona vile....utakuja lini kuyabomoa!!!....umsaidie ndoto YAKE ya kuwa mtanesco😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inafurahisha
 
Hahhaha sijaamini kama nimeisoma yote, mkuu wa kitengo nina wasiwasi na uzalendo wako, kwanini hukununua pombe ya asili ya eneo hilo? Yaweza kuwa mnazi, chang’aa, mbege, ulanzi au komoni, gongo nadhani ilishawekewa marufuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…