Niliwahi kuwa mkuu wa kitengo cha vinywaji harusini

Nimekukubali Mkuu wa Kitengo uko vizuriiiiiii, hata kuandika unajua, hukuwa mvivu darasani.
 
sawa Afsa vinywaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaasaahaaa! Sengerema au wapi hapo?
 
Aisee..nimechekaa..kama story za marehemu Munga Tehenani.
 
Hahaha umenifanya nicheke mpk machozi ur a very good comedian...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nikapanda pikipiki napita mtaani watu hawaamini kama nimepanda pikipiki kwenda nyumbani na wakati huo kijijini nikawa naitwa mkuu wa kitengo,

mimi nilikuwa natabasamu tu hata siongei maana nilitaka nikifika nyumbani ndipo nifurahi na kucheka.

Basi nikaenda nyumbani majira ya saa 12 nikaomba yule dereva awashe taa ili waone naenda nyumbani kwa pikipiki.##HAPO NIMECHEKA SANA ASEEE SIJUI ILIKUWA MWAKA GANI??πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ™πŸ™
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hongera sana mkuu wa kitengo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…