Manfried
JF-Expert Member
- Oct 11, 2024
- 1,288
- 4,074
CHADEMA na CCM niliwaambia ni chama kimoja.
Hata huyu mnayemuita Lissu ni tajiri mkubwa tu Ila yeye alichofanikiwa ni Ku-play low key na kuendana na watu wanaoitwa wanyonge, hii mbinu pia alikuwa anaitumia Magufuri this guy was multimillionaire Ila alikuwa anaigiza kuwa yeye pia ni mtoto wa mkulima wa jembe la mkono.
Viongozi wa chadema wote wakubwa ni watu waliojimilikisha mali ambazo hazijulikani zimepatikana vipi the same CCM.
Ukija kwa hawa wafuasi wa CHADEMA na CCM wote ni masikini wa kutupwa hawajitambui wala kuelewa siasa ni nini.
Njoo Kwa simba na yanga - viongozi wao kina GSM na MO wanazisapoti hizi team ili kuinua Biashara zao zikue, Ila angalia mashabiki wa hizi team hawajitambui ni mfano wa watu waliopagawa.
Ni MTU mjinga akasema CHADEMA IPO kwa ajili ya wananchi au CCM, na MTU mjinga atapiga kelele kisa Simba imefungwa au Yanga.