Niliwahi kuweka uzi humu kumtumia nauli mwanamke ukabezwa asante Diamond umeniheshimisha

Niliwahi kuweka uzi humu kumtumia nauli mwanamke ukabezwa asante Diamond umeniheshimisha

SISIS

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2019
Posts
10,892
Reaction score
3,112
Niliwahi kuweka uzi hapa mwezi uliopita nikilalamika kumtumia mwanamke nauli ya VPI GO and Return kutoka mwanza kwa makusudi akaja hadi Dar alfu akaniambia ameanza period tokea jana nikajiuliza alikuja Dar kufuata nini kwa bahati mbaya watu wakanibeza na uzi ukafutwa

Kwa bahati nzuri kiongozi wetu wa vikao vya wanaume Diamond Platnumz juzi nikazipata taarifa zake namna alivyombadilikia mwanamke aliyempandisha ndege hadi South Africa alafu kufika kule mwanamke akageuza gia nngani kuwa yupo period

Simba la masimba akapanic akaingia chumba cha pili akalala na zigo lingine yule nwsbamke ikamchoma sana ila simba alikuwa sahihi na kurudi Dar bwana simba inasemekana akawa hatoi kodi wala matumizi[emoji23][emoji23] mdada alivyoona pagumu akakimbia
 
binti wangu kaamua kuolewa na huyu kaburu mjerumanii...sijui nifanyejee jamaniii dah
FB_IMG_1740065492864.jpg
 
We nauli tu ya Basi unalia lia weee! Acha hizo bwana.
 
Uwa wana dharau sana kama upo period kwanini usiseme kuepusha hasara na hasira kwa mwanaume
 
Back
Top Bottom