Kiukweli kwa muda wote uliopita takriban mwezi na ushee umepita bila mi kuonekana hapa, nlikuwa napata shida sana kucope na hali hiyo, niliwamiss wote, kila mmoja kwa namna ya pekee. nashukuru kwa sasa nitapata muda hata japo kidogo niwe hapa. Love you all friends.
Thank you dears, its like nilienda kutangaza nia nikashikwa na takukuru nikijaribu kupenyeza rupia , so am back ha ha haaaa. I missed everything in here.
Hahaha Pole sana yote heri! Welcome back...tulikumiss sana ! Ila topics za infidelity zimeongezeka sana toka upotee....Thank you dears, its like nilienda kutangaza nia nikashikwa na takukuru nikijaribu kupenyeza rupia , so am back ha ha haaaa. I missed everything in here.
Thank you dears, its like nilienda kutangaza nia nikashikwa na takukuru nikijaribu kupenyeza rupia , so am back ha ha haaaa. I missed everything in here.
Namkaribisha tena kwa masikitiko makubwa. Infidelizesheni imepata pigo kubwa kwa kurudi kwake.Its nice to have you back.,...hapa nisisema sana yupo Big Brother Asprin atasema kwa niaba yake.....akisaidiana na "junta' Teamo (sijui kama unamjua) , ambaye tumemrecruit majuzi kutoka kundi la JEM (Justice and Equality Movement).
Pia uangalia nguo zako kuna Acid moja hapa nadhani ni conc H2SO4 so kuwa nayo makini unaweza KUUNGUA.
Mdogo wetu JS anahitaji ushauri pia kwa namna ya pekee. Wageni wengine bado wapo wapo mlangoni utawaona tu kwa mavazi yao!
welcome back Carmel.....we missed you!:A S 8:
......Hata mie nilimiss posts zako shosty, hope kimya chako kilikuwa cha heri.:welcome:
Bht yuko martenity leaveWewe Pia mbona unapotea potea hivi Bht also Pearl ...:A S 8:
:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:Wewe Pia mbona unapotea potea hivi Bht also Pearl ...:A S 8:
:focus::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
kwa kweli ntakuwa mwangalifu sana na hiyo acid especially. Js ushauri najua kashapata wa kutosha lol.Its nice to have you back.,...hapa nisisema sana yupo Big Brother Asprin atasema kwa niaba yake.....akisaidiana na "junta' Teamo (sijui kama unamjua) , ambaye tumemrecruit majuzi kutoka kundi la JEM (Justice and Equality Movement).