Nani alikudanganya?Japo mlinifanyia ukatili huo juzi nilipoilaani stars, leo tumeshuhudia kipigo cha mbwa koko. Stars walicheza kwa zaidi ya mwezi kupitia vyombo vya habari, leo wamechezewa kwa Dk 90 tu, chaliii.
Nimefurahi sana maana tulidanganywa.
Waziri wao
HahahaaaaAjiuzuru tu akale ndizi mwakaleli