Mara kadhaa nimewambia kuwa chadema ni genge la wahuni wapiga dili, wanatumia chama kama kitegauchumi.
Mungu sio asumani leo hii leo hii tunawaona jinsi wanavyo tuhumiana wao kwa wao kula rushwa/kulamba mzigo.
Mnawaona jinsi wanavyo nyoosheana vidole;.........mara...wewe umesha lamba....ohhh mwenyekiti naye kala......mara ohh wenje naye kalamba.......mara oohh chama chote wameshakula umebaki wewe lisu!!!!!
Wenye akili tafakarini vizuri, je? kweli hawa viongozi tulio nao wanafaa kukiongoza chama?
Tuwe makini sana, viongozi wengi wa chadema wanakitumia chama ili tu kujinufaisha wao kiuchumi na sio kuwapigania wananchi. ndio maana tunamuona kiongozi wa juu anang'ang'ania kiti hataki kuachia sio jingine bali maslahi binafsi. Tafakari.
Kwa sasa sio tu Chadema imepasuka vipande vipqnde bali pia viongozi wake waliopo wananuka UFISADI na Rushwa. ndio maana tunawaona wanatuhumiana wenyewe kwa wenyewe kuhongwa na kula rushwa tena hadharani bila kificho. Huuu ni Ushahidi kuwa viongozi wa Chadema sio kama tunavyo waona wakizungumza, ndani wameoza na wananuka!!!
Kwa viongozi waliopo hakuna hata mmoja mwenye uhalali wa kimaadili wa kukikosoa chama Tawala, sio Mbowe wala kiongozi yeyote mwandamizi wa chama.wote wananuka uchafu, wamevunda na kupofuka macho, wanacho kifanya sasa ni kuwahadaa wanachama. tumia akili yako kutafakari.
Ushauri;
njia pekee kwa wanachadema ni kukisafisha chama kwa kuwaondoa viongozi wote walio husishwa na vitendo wasio na uadilifu, wala rushwa. haitaji ushahidi hilo, viongozi wa sasa wananuka na wanakinukisha chama uchafu, tuwaondoe.