Niliwambia nataka mil 50 wao wanachukua 30 hawajanifurahisha kabisa-Gamondi

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Huyu kochanmtuu mbad sana aisee

Ameulizwa vipi kuhusu mechi anajibu m niliwambia leo nataka muondoke na mil 50

Nimehuzunishwa sana nashangaa wamechukua 30mil tu...

KazinikwaYangakunakazi
 
Pia kocha hafurahishwi na Dube kukosa magoli. Atajikuta anakaa benchi mana Abuya ni kiungo lakini akipata chance hafanyi makosa.

Siku Baleke akianza kutupia, Dube benchi linamuhusu!

Musonda naye anashangaza kukosa magoli kizembe!
 
Umewaza kama nilivyowaza. Siku Baleke akianza kufunga Dube ataiona Yanga chungu
 
P
Huyu kochanmtuu mbad sana aisee

Ameulizwa vipi kuhusu mechi anajibu m niliwambia leo nataka muondoke na mil 50

Nimehuzunishwa sana nashangaa wamechukua 30mil tu...

KazinikwaYangakunakazi
PEsa za kiongozi wa ajabu sana SGR zimebuma huko yeye anachezea hela.
 
Pia kocha hafurahishwi na Dube kukosa magoli. Atajikuta anakaa benchi mana Abuya ni kiungo lakini akipata chance hafanyi makosa.

Siku Baleke akianza kutupia, Dube benchi linamuhusu!

Musonda naye anashangaza kukosa magoli kizembe!
Misumari mkuu nimekuwa jjran na haruna njyonzima akikwambia yanaoendeelea balaa hizi timu ukiona mchezaji anacheza mheshimu kajipanga
 
Anatumia hasira mnoo pale anapopata chance.
 
Misumari mkuu nimekuwa jjran na haruna njyonzima akikwambia yanaoendeelea balaa hizi timu ukiona mchezaji anacheza mheshimu kajipanga
Basi na yeye Dube ajipange aisee! Yani Abuya kiungo anapiga goli, Mudathiri kiungo anapiga goli, Aziz Ki kiungo anapiga goli. Mzize mshambuliaji anapiga goli.

Mbona nafasi ya Dube inakuwa matatani sana kwa jinsi anavyokosa magoli ya wazi!
 
Hii hela ya kununua magoli inatoka wapi, au kutoka mshahara binafsi wa raisi?
 
Back
Top Bottom