GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
wewe ambaye hukumsema utaishi milele?Yaani unapata tu Taarifa za Msiba wa Hayati Magufuli haraka sana unatoka Kijijini Kwenu na kuwahi Mjini kisha unandaa Sherehe Kubwa Nyumbani Kwako huku muda Wote katika Sherehe Wewe ni Kumsema tu Hayati Magufuli.
Haya Kiko wapi sasa? Tubuni mno.
Wewe utaishi Milele?wewe ambaye hukumsema utaishi milele?
Watakufa wote tena kifo kibaya SANA machozi ya watanzania hayata waacha sawaYaani unapata tu Taarifa za Msiba wa Hayati Magufuli haraka sana unatoka Kijijini Kwenu na kuwahi Mjini kisha unandaa Sherehe Kubwa Nyumbani Kwako huku muda Wote katika Sherehe Wewe ni Kumsema tu Hayati Magufuli.
Haya Kiko wapi sasa? Tubuni mno.
Kabisa, ni upumbavu kufurahia au kucheka kifo cha mwingine ikiwa wewe mwenyewe hatma yako ni huko huko.Hahahah ila truth be told, wote njia moja , ucheke usicheke njia moja tu
machozi ya watanzani wepi, na wale walioweka sherehe siyo watanzania. Acheni kuwayawaya hata wewe huijui kesho yako. Kila mtu na hisia zake, km alionewa na kunyanyaswa na Magufuli asifurahie? heshimu hisia zako hakuna cha machozi.Watakufa wote tena kifo kibaya SANA machozi ya watanzania hayata waacha sawa
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
tumechoka na huu upumbavu wenu kila siku Magufuli, yule ameshaoza anatumikia adhabu ya kaburi, Zitto aliwaambia km mnampenda sana mfuateni aliko. Au hamjui njia ya kwenda kule? Mbona simple tu.Yaani unapata tu Taarifa za Msiba wa Hayati Magufuli haraka sana unatoka Kijijini Kwenu na kuwahi Mjini kisha unandaa Sherehe Kubwa Nyumbani Kwako huku muda Wote katika Sherehe Wewe ni Kumsema tu Hayati Magufuli.
Haya Kiko wapi sasa? Tubuni mno.
Mbona Zito hakuzikwa karibu na kaburi la mama yake au alikuwa hampenditumechoka na huu upumbavu wenu kila siku Magufuli, yule ameshaoza anatumikia adhabu ya kaburi, Zitto aliwaambia km mnampenda sana mfuateni aliko. Au hamjui njia ya kwenda kule? Mbona simple tu.