Niliweka pesa NBC Bank katika account ya malengo. Je, naweza kutoa kabla ya muda kufika?

nipo online

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2022
Posts
1,039
Reaction score
2,657
Nina dharura ya gafla, niliweka kias fulani bank kwa kujua kua baada miez 6 nitaenda itoa, lakini nimepata pesa gafla lengo nichanganye na ile ya NBC ili nifanye biashara fulani lakini muda hujafika ndio kwanza miez 3.

Tafadhali naomba utaratibu je naweza I pata?
 
Nenda kesho NBC Branch kaulize
 
Nina dharura ya gafla, niliweka kias fulani bank kwa kujua kua baada miez 6 nitaenda itoa, lakini nimepata pesa gafla lengo nichanganye na ile ya NBC ili nifanye biashara fulani lakini muda hujafika ndio kwanza miez 3.

Tafadhali naomba utaratibu je naweza I pata?
Unaweza ndio
Nenda bank waeleze dharura yako.
Nakushauri toa kiasi cha kukusaidia kwa dharura yako ili usirudi tena kutoa ndani ya miezi michache ijayo.
Kwa sbb hio ni akaunti endelevu, unaweza kutoa kiasi then ukabakisha salio, na kuendelea kuweka pesa mpk pale utapopata tena uhitaji wa kutoa pesa
 
Shukurani
 
Nina dharura ya gafla, niliweka kias fulani bank kwa kujua kua baada miez 6 nitaenda itoa, lakini nimepata pesa gafla lengo nichanganye na ile ya NBC ili nifanye biashara fulani lakini muda hujafika ndio kwanza miez 3.

Tafadhali naomba utaratibu je naweza I pata?
Sisi ni benki unatuuliza?
 
Kuna vigezo na masharti ulipewa kavirejee vitakupa mwongozo kama hukuvisoma kabla
 
Nina dharura ya gafla, niliweka kias fulani bank kwa kujua kua baada miez 6 nitaenda itoa, lakini nimepata pesa gafla lengo nichanganye na ile ya NBC ili nifanye biashara fulani lakini muda hujafika ndio kwanza miez 3.

Tafadhali naomba utaratibu je naweza I pata?
Hukupewa maelekezo bank ama walikuambia uje kuuliza huku?
 
Nina dharura ya gafla, niliweka kias fulani bank kwa kujua kua baada miez 6 nitaenda itoa, lakini nimepata pesa gafla lengo nichanganye na ile ya NBC ili nifanye biashara fulani lakini muda hujafika ndio kwanza miez 3.

Tafadhali naomba utaratibu je naweza I pata?
Tàtizo unaweka hela wakati huna malengo kwenye account ya malengo!
Akili ni nywele.
 
Nina dharura ya gafla, niliweka kias fulani bank kwa kujua kua baada miez 6 nitaenda itoa, lakini nimepata pesa gafla lengo nichanganye na ile ya NBC ili nifanye biashara fulani lakini muda hujafika ndio kwanza miez 3.

Tafadhali naomba utaratibu je naweza I pata?
Wakati unafungua akaunt hukupewa vigezoM au ulikuwa umelala? au nyie ndio wale mnakimbilia tu kwenye kuanguka signature? Nchi imejaa wajinga sana hii Mungu saidia
 
Unatoa vizuri tu.unawaambia malengo yako yameshatimia unatoa kibunda mwaisa kwani hela si yako.
Walinizingua sehemu nyingine kwamba ndani ya miezi 6 huwezi kufanya miamala zaidi ya mmoja.Nikaenda sehemu nyingine hata hawakuniuliza nikatoa mpunga wangu nikaingia chaka kununua maeneo kwa bei ya promotion safi kabsa 🤣🤣
 
Back
Top Bottom