nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,039
- 2,657
Uko nje ya mada yangu samahani lakiniBank ya kuaminika 100% ni kibubu
Nenda kesho NBC Branch kaulizeNina dharura ya gafla, niliweka kias fulani bank kwa kujua kua baada miez 6 nitaenda itoa, lakini nimepata pesa gafla lengo nichanganye na ile ya NBC ili nifanye biashara fulani lakini muda hujafika ndio kwanza miez 3.
Tafadhali naomba utaratibu je naweza I pata?
Unaweza ndioNina dharura ya gafla, niliweka kias fulani bank kwa kujua kua baada miez 6 nitaenda itoa, lakini nimepata pesa gafla lengo nichanganye na ile ya NBC ili nifanye biashara fulani lakini muda hujafika ndio kwanza miez 3.
Tafadhali naomba utaratibu je naweza I pata?
ShukuraniUnaweza ndio
Nenda bank waeleze dharura yako.
Nakushauri toa kiasi cha kukusaidia kwa dharura yako ili usirudi tena kutoa ndani ya miezi michache ijayo.
Kwa sbb hio ni akaunti endelevu, unaweza kutoa kiasi then ukabakisha salio, na kuendelea kuweka pesa mpk pale utapopata tena uhitaji wa kutoa pesa
Sisi ni benki unatuuliza?Nina dharura ya gafla, niliweka kias fulani bank kwa kujua kua baada miez 6 nitaenda itoa, lakini nimepata pesa gafla lengo nichanganye na ile ya NBC ili nifanye biashara fulani lakini muda hujafika ndio kwanza miez 3.
Tafadhali naomba utaratibu je naweza I pata?
Kuna vigezo na masharti ulipewa kavirejee vitakupa mwongozo kama hukuvisoma kablaNina dharura ya gafla, niliweka kias fulani bank kwa kujua kua baada miez 6 nitaenda itoa, lakini nimepata pesa gafla lengo nichanganye na ile ya NBC ili nifanye biashara fulani lakini muda hujafika ndio kwanza miez 3.
Tafadhali naomba utaratibu je naweza I pata?
Hukupewa maelekezo bank ama walikuambia uje kuuliza huku?Nina dharura ya gafla, niliweka kias fulani bank kwa kujua kua baada miez 6 nitaenda itoa, lakini nimepata pesa gafla lengo nichanganye na ile ya NBC ili nifanye biashara fulani lakini muda hujafika ndio kwanza miez 3.
Tafadhali naomba utaratibu je naweza I pata?
Tàtizo unaweka hela wakati huna malengo kwenye account ya malengo!Nina dharura ya gafla, niliweka kias fulani bank kwa kujua kua baada miez 6 nitaenda itoa, lakini nimepata pesa gafla lengo nichanganye na ile ya NBC ili nifanye biashara fulani lakini muda hujafika ndio kwanza miez 3.
Tafadhali naomba utaratibu je naweza I pata?
Wakati unafungua akaunt hukupewa vigezoM au ulikuwa umelala? au nyie ndio wale mnakimbilia tu kwenye kuanguka signature? Nchi imejaa wajinga sana hii Mungu saidiaNina dharura ya gafla, niliweka kias fulani bank kwa kujua kua baada miez 6 nitaenda itoa, lakini nimepata pesa gafla lengo nichanganye na ile ya NBC ili nifanye biashara fulani lakini muda hujafika ndio kwanza miez 3.
Tafadhali naomba utaratibu je naweza I pata?