Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Japo hatukulipi lakini ulimaanisha nini uliposema kinaelekea mwisho,ilikua masimulizi au kutype? Maana inachosha sana unaturudisha enzi magazeti ya shingongo yanatamba ile kusubiria simulizi zake. Inabidi nistaafu kufatilia ongoing stories.

Hii quote ipo kule kwa big wa goba
Usijali. Najitahidi kuandika na kumaliza ili nitume kwa mikupuo. Mwenye nayo asije dhani nimepuuzia.
 
Kila kitu nimeshakiandika kama nilivyokisikia ila kuyapangilia haya mambo kuleta mtiririko wa matukio unaoeleweka ndiyo changamoto, kama unavyojua mtu akikusimulia kutoka kichwani ni tofauti na ikiwa katika maandishi, yeye atakusimulia kadiri vinavyokuja na kuvikumbuka, sasa wewe unayesimuliwa ndo' unabaki na kazi ya kupanga na kupangilia maana kwenye maandishi hamna cha kusema "alafu kuna kitu nimesahau, siku moja ..." Au "ngoja kuna kitu nimeruka hapo." Kama vile afanyavyo anayesimulia.

Kama si haramu, ningekuonysha PM ilivyo pengine ungenielewa. Niwie radhi, kadiri nipatavyo muda ntakuwa naongeza.
 
Asante boss,tupe vitu chapchap,Ni story nzuri Ila,mhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…