Niliweka shada za maua kwenye makaburi matano ya watu wangu wa karibu

Nilikua naimagine pale pa action muvi Mage Amiri na Zai sikupapatia picha kabisa...!! Ilikua bonge Moja la action muvii😊😊!
Hatari sana
 
Hii Episode Steve umetupeleka kama Chama mwamba wa Lusaka, ukagushi kama unapiga tukajaa kwamba Zai kavuta kumbe [emoji23]
Kumbe ndoto tu jamani!!!
Ila na mazamkwe si aliota ivoivo siku si nyingi akadedi ☺️
Ngoja tuone!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…