Niliwekewa chura kwenye papuchi il niache kukojoa

Rahabu

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2014
Posts
5,526
Reaction score
3,341
Hakuna mkubwa humu wote Mambo.

Jamani hii kweli imenitokea nikiwa na miaka kama6 hivi wakati naishi na shangazi angu R.I.P aunty nilikua kikojozi mno haipiti siku1 au2 naumwaga.

siku hiyo nimelala usiku ghafla nikashtuliwa na kitu kinachezacheza kunako kiuno ile nashtuka nakuta chura mzima sio mdogo sana amefungwa katika papuchi jamani

Sio utani tokea mwaka ule hadi leo ni 27 sijawahi kukojoa kitandani.
Naimani watoto wa ant kama wapo humu wataelewa ninacho sema.

we umeacha kwa stail gani
 
mhh...........aliingizwa kwa ndani au alikua juu?
 
Si wote humu udogoni walikua vikojozi. Kama sasa hivi umeacha shukuru Mungu.
 
Hakuweka ndan alifungwa miguu yote minne. Kamba ikapita kiunon yeye akaka kwa mbele
 

duh kumbe umepoteza bikra yako ukiwa mdogo hivyo?
miaka 6? aisee.
 
chura alikaa kwa mbele...aliishia kutazama tu? hakuonja kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…