Bro kesi iko katika mtindo wa madai ila kwa kuwa ilianzia police ndo ikaenda mahakamani jalada likabadilika kuwa jinaiSheria inasema wewe ndo utabeba adhabu yake nakushikiliwa mpaka atakapo patikanaa... Mzee kesi ya uhujumu uchumi kuna dhamana kweli???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Hiyo sio kesi ya uhujumu uchumi ni kesi ya kawaida chini ya kanuni za adhabu...Sheria inasema wewe ndo utabeba adhabu yake nakushikiliwa mpaka atakapo patikanaa... Mzee kesi ya uhujumu uchumi kuna dhamana kweli???[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Kimbia haraka katoe taarifa mahakamani"Wanajamvi naomba msaada kwa yeyote mwenye ufahamu wa kisheria anisaidie"
Kuna mtu nilimwekea dhamana mahakama ya mwanzo kwa kosa la jinai ya kujipatia mali/huduma kwa udanganyifu baada ya kutoka selo alitoroka na juhudi za kumpata hazijafanikiwa, ili niwe sehemu salama sheria inasemaje?
Mi nafikiria kua kuna kipengele wewe cha kuivua dhamana kisha mahakama itamtafuta akikamatwa basi itakua imekula kwakeInaendaje hapo kiongozi chini ya adhabu mkuu