Barikiel
JF-Expert Member
- Feb 2, 2014
- 403
- 405
Nilikua Na mahusiano Na Mwana Mama moja lakini baada ya kubeba ujauzito alikimbia akambambikiza mwanamume mwingine. Sasa hivi Mtoto ni mkubwa yupo cheke chea naomba mnishauri kwani mimi nahitaji dam yangu. Nimeamua kuiweka hii picha kusudi yeyote anae mfaham huyu Mtoto ajue Kua yule baba anae ishi nae siyo wakwake. Nina hasira kwani niliwahi kuongea na mama mkwe lakini alinitusi pamoja na mwanae.