Niliyezaa nae kambambikia mtoto mwanaume mwingine, namtaka mwanangu

Barikiel

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2014
Posts
403
Reaction score
405
Nilikua Na mahusiano Na Mwana Mama moja lakini baada ya kubeba ujauzito alikimbia akambambikiza mwanamume mwingine. Sasa hivi Mtoto ni mkubwa yupo cheke chea naomba mnishauri kwani mimi nahitaji dam yangu. Nimeamua kuiweka hii picha kusudi yeyote anae mfaham huyu Mtoto ajue Kua yule baba anae ishi nae siyo wakwake. Nina hasira kwani niliwahi kuongea na mama mkwe lakini alinitusi pamoja na mwanae.
 

Attachments

  • 1447519110578.jpg
    21 KB · Views: 53
  • 1447519356371.jpg
    27.8 KB · Views: 52
  • 1447519426064.jpg
    34.7 KB · Views: 54
Acha ujinga kapime DNA. Jinsi ya kupima nenda kwa wakili atakuelekeza jinsi ya kufanya ili Upime DNA. Sheria ya mtoto ya mwaka 2009 inahusika
 
pole sana kaka,ila kwani hauna mawasiliano na huyo mwanamke wako wa zamani,mimi nafikiri ungemtafuta na kuongea nawe wenda mkaelewana.ila hasira haisaidii kitu mkuu,just take it easy man!
 
unajuaje kuwa huyo ni mwanao?
 
Taira wewe
 
SEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…