Niliyojifunza katika jukwaa la Mahusiano na Mapenzi

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2016
Posts
4,701
Reaction score
11,920
Habari wakuu,

Tangu umejiunga JF naamini umesoma mada nyingi zinazohusu mapenzi na mahusiano kutoka kwa wadau mbali mbali hapa JF.

Kuna mambo umejifunza ambayo unatamani kila mtu ayajue

Kwa upande wangu nimejifunza mambo yafuatayo:
  • Wanawake wote ni trouble maker (wanatabia ya kuanzisha ugomvi au matatizo ndio walivyo umbwa)
  • Usiwekeze kwa mwqnamke wekeza kwa watoto wako, mwanamke yeye kawekeza hisia kwako zikiisha anaondoka muda wowote.
  • Wanawake wenye sura nzuri sana na maumbo mazuri asilimia 90% hawqjaolewa
  • Mwanamke mwenye breach kichwani, kimstari cha kuchonga pembeni ya kichwa (way) tattoo asilimia 90% hawajaolewa
  • Single mother wa Dar na mikoani ni mbingu na ardhi.
Yangu ni hayo.

Tuwekee hapa uliyojifunza kutoka JF ambayo unatamani kila mdau ayajue

Ahsante.
 
Yaani unataka kusema hujajifunza kuhusu

KATAA NDOA..!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…