Rocco sifredi
Senior Member
- Jul 15, 2023
- 100
- 197
1. Ally Salim kajitahidi leo pamoja na kukaa mbao ndefu muda mrefu bravo kwake beki zetu za kati marking mbovu back passes aaah kwa timu inayoshambulia kwa kasi kama yanga kazi itakuwepo
2. Mavambo kajitahidi sikuona sababu ya sub ya ngoma backbass zikawa nyingi kama alitaka kufanya mabadiliko walau angeingia Okejepha
3. Awesu kajitahidi japo anachezea chini sana eneo ambalo mavambo alikuwepo angesubiri apewe pasi make ilisababisha timu ikakosa kulink chini na eneo la ushambuliaji make aliingia kucheza kama namba 10
4. Nouma sijui leo alikuwaje ila performance yake naona ilikua chini labda uwanja ndo sababu
5. Mukwala kiwango cha leo nafikiri ndo straika anatakiwa kua hivi nafasi hiyo hiyo anakumaliza sio kama ateba amekua anafanya mechi chache zilizopita
6. Mutale kwa mbaliii anaanza kurudi nafikiri akipewa muda anaweza kuimprove zaidi ahoua nasemaga siku zote tuna naomba 10 ambaye kipaumbele chake ni kufunga ambaye anasubiri fouls na penalties na si kuchezesha straika wake Simba wanatakiwa kua makini katika hili.
Soma Pia: FT | Coastal Union 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Arusha | 01 March, 2025
All in all timu imeshinda lakini timu inaridhika mapema wanaanza kucheza mipira ya nyuma binafsi hamna kitu kinanikera kama timu kucheza back passes zisizo na sababu
Alivyoingia ngoma timu ikawa kama imefungulia kurudisha mipira nyuma sijui ndo maelekezo ya fadlu ila tunatakiwa kujiangalia sana kwenye hili