Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Hizi ni bangi,hata timu yangu tunavaa jezi hizi na zipo picha nyingi tu tunapigaView attachment 1224926
Simba Sports Club morogoro. Maveterans na wapenzi wasimba ktk kikosi.
Ikiuma sema ichomolewe..Hizi ni bangi,hata timu yangu tunavaa jezi hizi na zipo picha nyingi tu tunapiga
Mbumbumbu ningumu kuwa juu ya Yanga mtateseka sanaIkiuma sema ichomolewe..
Ikiuma sema ichomolewe...leo simba ni bingwa wako wa nchi na kwenye ligi yuko juu yako, bado unaona ni chini au ndio umepindua meza?Mbumbumbu ningumu kuwa juu ya Yanga mtateseka sana
Ulaaaaaaniweeee manuni weEeh Mungu chochea moto huu mgogoro uwe mkubwa zaidi na yanga itokomee kabisa...
AMINA.
Wewe ni mtu baki kwa yangà, hata uvae pinki au uchi hamna atakayejali...kama nyekundu freshi kwa uongozi msigepigia kelele nembo ya voda.Hizi ni bangi,hata timu yangu tunavaa jezi hizi na zipo picha nyingi tu tunapiga
Kadi yako namba ngapi?
Pumba tupu toka kwa mbumbumbu
Eeh Mungu chochea moto huu mgogoro uwe mkubwa zaidi na yanga itokomee kabisa...
AMINA.
Itokomee ifie mbali, hili ni tawi la ccm...likiufe!!
Kuna clip imezagaa mitandaoni ikimwonyesha kocha wetu kipenzi,akiifagilia SiMba ipo JUU,kauli hii imenikatisha tamaa,leo sitakwenda shamba la Bibi(uwanja waUhuru)