Niliyoyasema kuhusu Yanga SC yetu mlidhani ' natania ' na hatimaye sasa ' Kimenuka ' rasmi huko na kuna ' Mgogoro ' mkubwa sana

Kweli yanga kuna wapumbavu
We ulitaka Msola asimame milangoni ili ujue ni yanga
Acheni ujinga
 

Genta kivinge!

Buahahaaaaa
 
Kwani yanga ni timu[emoji124][emoji124][emoji124]
 
Namjua mshindo msola, yule ni mwanayanga . unapata faida na muda gani unapoandika majungu na upuuzi huu
 
Wewe Jamaa huitaji kuhama ni Shabiki wa Simba SC na Nakushangaa sana siku hizi Genty umekuwa wa hovyo, punguza kutumia Bangi!
 
Tuache kuchochea na kushabikia migogoro isiyo na maana kwenye timu zetu. Mimi naamini viongozi waliochaguliwa Yanga ni wanamichezo na ndio kwanza wana miezi sita kwenye uongozi. Labda wanachama wanaopiga kelele wanataka viongozi wafanye nini hasa kwa kipindi hicho kifupi walichokaa madarakani. Tuwape muda viongozi wafanye kazi kwa utulivu, mpira wa miguu sio tamthiliya wala mazingaombwe. Wanachama wakiendekeza makelele wakubali kuumia roho miaka mingi ijayo Simba ikifanya vizuri.
 
Wewe GENTAMYCINE acha ufamba Bata wewe!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…