Niliyoyashuhudia Jeshini

Ukileta muendelezo nitagg
 
Sasa dogo hiyo ni kozi ya mujibu tena mnafundishwa uzalendo tu kwa miezi yenu mitatu then mnarudi kitaa huku mkirashia rashia MK, UP, Shabaha na Pori then Gwaride wengi mkiangukia vitengo vya ngoma coy, KO na Singe wengine Gwaride na kuondoka zenu. Sasa ungeenda kozi ya kujitolea au RTS ungesemaje?πŸ˜„πŸ˜„
 
Nasubiria "shark attack" siku ya kupewa PT Shorts na green vest
 
Mkuu unaongea tu! Mimi sikuzoea mambo hayo ndomaana ikawa mtihani
 
Wanasema muhimu wakati wa kupata kazi serikalini. Ila mimi naona bra bra tu!
Interview huanzia kuanzia siku ya kwanza unaripoti hapo getini ripoti wanaandika huyu tumepokea ni selule yaani mtoto wa mama huyu Jeshi hamna kitu wanaweka na marks zinahifadhiwa.Baadaye kwenye Kila eneo la mafunzo unatizamwa na wafunzi tofauti marks zinahiadhiwa Kwa Siri baadaye Kuna lile zoezi la kulenga shabaha unatizamwa unaangaliwa uwezo wako Kuna hizo ajira wengine huondoka nazo siku ya kufunga mafunzo tu anaambiwa Kwa Siri wewe ukitoka hapa karipoti Jeshi Fulani Nenda na barua hii au ukifika pale jitambulishe wewe Fulani usimwambie mambo mengi faili lako litakuwa limemfikia
Sio kuwa tu kuwa umekanyaga JKT ajira ipo.Perfomance ilikuwaje huko ?
 
Nakumbuka tulipewa order ya kuleta passport size photo ndani ya masaa ma 3 na Wakati huo ni saa 12 na nusu jioni. Anaefanikiwa ajira Usalama.
 
Tatizo madogo wa siku hizi ni lege lege Sana, eti na mzazi nae anasisitiza kabisa ukiona mazoezi ni magumu niambie nikufuate. Anaongea as if akienda kikosini ni kama anaenda kwa mwalimu mkuu wa shule ya msingi na kumuomba mwanae aondoke nae🀣🀣
Komaa boy adui sio baba ako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…