Nicholas
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 25,260
- 7,204
Nilisikiliza mjadala TBC juzi ,ukiendeshwa na shaaban Kisu na wageni wakiwa Serukamba na Shibuda..nilichogundua ni kwamba Serukamba, hana taswira ya serikali 3, alichokua akiongea huku akionekana kabisa kabisa kuamini ktk moyo wake ni kwamba serikali 3 zinaondoa Tanzania.Pamoja na kwamba ktk maelezo yake alijitahidi kuweka hisia na mara nyingi hadi shaaban Kisu alikuwa akionekana kuona hakuna logic..maelezo yake yote yanaonyesha kuwa serikali 3 ndio jibu ila anamalizia kwa mbili na ujinga mwingine wa kudai mshikamano na umoja wetu wa kitaifa. Maccm yanasahau km ni mshikamano wa kitaifa basi serikali moja ndio best.Kitu ambacho hakitapewa maridhiano zenj.Hata shibuda mnafiki aliweza pigilia msumari ktk kura ya siri, pamoja na majungu yake huku akificha mengi ya rohoni...ila naye alipofikia kwa serikali 3 alionekana akiongoea illogical things. Kwa ufupi maCCM wanahitaji kuelemishwa na kufundishwa kuamini LOGIC....serukamba masikini anadhani kulia n akuweka hisia nyingi za kiudugu na mshikamano basi kutaondoa logic.anatia huruma sana.Serukamba hajui kuwa serikali 3 haiondoi Tanzania...wala haiondoi Ardh ya wanaojiiita watanzania....na hili na kwa ajili yake na Shibuda wote ni vilaza ktk hili.hajui wanaojiita wazenj ni watanzania,km wanaojiita watanganyika pia ni watanzania,na ardhi inabaki ileile..Hii ndio ilikuwa sababu ya hawa jamaa,waliojigamba na kuweka hisia..halafu wakamalizia kwa kusema watanzania watakwenda wapi..as if Tanzania itaondoka..Hapa ndipo CCM hawaelewi.