Swali hili kaliuliza Bi flora Wingia katika safu ya 'maisha' kwenye gazeti la 'Nipashe' la jana,hebu tutafakari hili mada.Kauliza hivi:
'Inakuwaje mwanaume aishi na mwanamke,azae naye watoto kisha ghafla ambadilikie na kumfurumusha toka nyumbani kwake kisa eti sasa ameamua kuoa na ku settle,na kweli akishamfukuza mzazi mwenzie anafunga ndoa na kufanya harusi na kimwana mpya' Anauliza hii inaingia akilini kweli?
"imeandikwa nitakufanyia msaidizi wa kufanana nawe" ss wengine kabla hawajafanyiwa wasaidizi wanaendekeza usinzi haya ndio matokeo yake ss, badae unakuja kugundua kuwa huyu si ubavu katika ubavu wangu na nyama katika nyama zangu unaamua kumuacha na kutafuta unayeona kwako ni sahihi.
Du,taratibu shemeji!Kweli haiingii akilini kabisa kama ulikuwa humtaki si ungemwambia mapema wanawake nao saa nyingine mie nawalaumu huwezi kusoma alama za nyakati kuwa huyu jamaa hanitaki upooo tu unaitegesha K yako unazaaa mpaka unachakaa haifai
Saaly,mwanamke kama unaishi naye anakupikia anakupakulia unadhani ni rahisi kumtoa ndani? kwanza unaanzaje?ni rahisi kulaumu wanawake kuwa ni kosa lao,ila wa kulaumiwa hapa ni wanaume -mwanamke kama humtaki huna future naye kwa nini usimwache akaenda zake mpk unamzalisha watoto na kumzeesha?:smash:
Saaly,mwanamke kama unaishi naye anakupikia anakupakulia unadhani ni rahisi kumtoa ndani? kwanza unaanzaje?
Vipi tena kina mama kwenye hii thread mbona naona kama hamuwaonei huruma wanawake wenzenu wahanga wa hii hali na badala yake mnatetea wanaume?
Du,taratibu shemeji!
Inategemea wanawake wengine huwa anaamua hata kumroga mwanaume na akishaolewa anafyatua matoto akitegemea hatoachwa sasa dawa zikiisha na huyo mbaba kurudia akili yake matokeo yake ndio hayo.
Matyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Aksante NATA kwa kutukumbusha hili. Ni muhimu pia kwetu kina dada kuacha kulazimisha mambo. Hajahalalisha ameomba tu muwe bedmates (tafsiri yake ni kuwa I want to have fun and good times with you......haimaanishi I want to share the rest of my life with YOU, Marry you or have kids with you). So tujifunze maadioli au kama tunashindwa basi nasi tujifunze kuishi kwa kuhave fun and spend good time.Ndoa hailazimishwi,
Wala mapenzi hayalazimishwi.
Inategemea makubaliano yao yalikuwaje
Kubwa ni swala la watoto ambao ni victim wa circumstance !