Kweli haiingii akilini kabisa kama ulikuwa humtaki si ungemwambia mapema wanawake nao saa nyingine mie nawalaumu huwezi kusoma alama za nyakati kuwa huyu jamaa hanitaki upooo tu unaitegesha K yako unazaaa mpaka unachakaa haifai
Aksante NATA kwa kutukumbusha hili. Ni muhimu pia kwetu kina dada kuacha kulazimisha mambo. Hajahalalisha ameomba tu muwe bedmates (tafsiri yake ni kuwa I want to have fun and good times with you......haimaanishi I want to share the rest of my life with YOU, Marry you or have kids with you). So tujifunze maadioli au kama tunashindwa basi nasi tujifunze kuishi kwa kuhave fun and spend good time.
Tusijibebeshe mimba kama njia ya kuwa'hook' hawa wenzetu.
Swali hili kaliuliza Bi flora Wingia katika safu ya 'maisha' kwenye gazeti la 'Nipashe' la jana,hebu tutafakari hili mada.Kauliza hivi:
'Inakuwaje mwanaume aishi na mwanamke,azae naye watoto kisha ghafla ambadilikie na kumfurumusha toka nyumbani kwake kisa eti sasa ameamua kuoa na ku settle,na kweli akishamfukuza mzazi mwenzie anafunga ndoa na kufanya harusi na kimwana mpya' Anauliza hii inaingia akilini kweli?
Kweli haiingii akilini kabisa kama ulikuwa humtaki si ungemwambia mapema wanawake nao saa nyingine mie nawalaumu huwezi kusoma alama za nyakati kuwa huyu jamaa hanitaki upooo tu unaitegesha K yako unazaaa mpaka unachakaa haifai
ni rahisi kulaumu wanawake kuwa ni kosa lao,ila wa kulaumiwa hapa ni wanaume -mwanamke kama humtaki huna future naye kwa nini usimwache akaenda zake mpk unamzalisha watoto na kumzeesha?:smash:
Tatizo la wanawake wengi huwa hawapendi kuambiwa ukweli ndo tatizo hilo, anajikuta anazaa ovyo huku akijinasibu kuwa jamaa anaweza kunifkiria wkt mwanzo aliambiwa kuwa hawezi kumuoa hili ndilo tatizo.
Kuna wanawake ving'ang'anizi i see sijawahi ona.
Mwenye maamuzi ya kuzaa au kutozaa ni mwanamke bana.
Mwanaume hana ubavu wa kumlazimisha mwanamke azae mwanamke ndiye anae jua siku gani za hatari amlengeshe jamaa apige mimba.
Swali hili kaliuliza Bi flora Wingia katika safu ya 'maisha' kwenye gazeti la 'Nipashe' la jana,hebu tutafakari hili mada.Kauliza hivi:
'Inakuwaje mwanaume aishi na mwanamke,azae naye watoto kisha ghafla ambadilikie na kumfurumusha toka nyumbani kwake kisa eti sasa ameamua kuoa na ku settle,na kweli akishamfukuza mzazi mwenzie anafunga ndoa na kufanya harusi na kimwana mpya' Anauliza hii inaingia akilini kweli?
Aksante NATA kwa kutukumbusha hili. Ni muhimu pia kwetu kina dada kuacha kulazimisha mambo. Hajahalalisha ameomba tu muwe bedmates (tafsiri yake ni kuwa I want to have fun and good times with you......haimaanishi I want to share the rest of my life with YOU, Marry you or have kids with you). So tujifunze maadioli au kama tunashindwa basi nasi tujifunze kuishi kwa kuhave fun and spend good time.
Tusijibebeshe mimba kama njia ya kuwa'hook' hawa wenzetu.[/QUOTE
Kinamama oneaneni huruma jamani!