Ukitenda kosa si kosa bali kurudia kosa(hapo ndipo una makosa,umerudia kosa na ndo maana imeonekana umemaanisha)
Kwanini umpige mwanamke kisa pombe zako bana...hata mimi nampa heko kwa uamuzi huo.
Ukitenda kosa si kosa bali kurudia kosa(hapo ndipo una makosa,umerudia kosa na ndo maana imeonekana umemaanisha)
Kwanini umpige mwanamke kisa pombe zako bana...hata mimi nampa heko kwa uamuzi huo.
Nipe contact zake ili nikusaidie kumbembeleza!Kaumia sana moyoni,kwa kashfa nilizotoa,binafsi hata moja sikumaanisha! .
Jana kaniambia tuachane,imeniuma,nakumbembeleza ! Nimemwambia nastop pombe kwa 2years. . .
Ni mchumba wangu,tuna malengo mengi,,tupo pamoja mwaka wa 4 sasa!
Anadai kachoka kuvumilia,kwasababu ni mara ya 3 narudia kitendo hiki,. .Mara ya pili nilitia hadi tumakofi. . .
Anaheshima,katulia,mimi ndo nakuwaga kidogo nje ya mstari nikipasha sana!. .
Bado namtaka,nifanyeje kwa sasa!
thats true, nina mashaka pia kama anavyotaka kuacha pombe anamaanisha! Kumbe kwa miaka 2 tu?after that mwendo ni ule ule au? Jipange kaka utamkosa mrembo huyo
kwani bado hujajua kiwango gani cha pombe ukinywa haupotezi utu wako?(namaanisha ukinywa hufanyi hayo madudu? kunywa pombe,usilewe pombe
....Hustahili kuwa na binti kama huyo, inabidi upate chakaram mwenzio labda ndio utatia akili kichwani. Ukipata bahati ya kusamehewa kwa mara nyingi tena basi achana na kilevi kabisa na wala si kwa miaka miwili bali usiguse tena kilevi maishani mwako, kilevi kinakuharibia maisha yako...utabaki unajuta na kulia kilio cha mbwa.