Nilizidisha kilevi juzi,nikamtusi sana bila kujitambua..

Inategemea na matusi yenyewe... Kama ulimwita "malaya" au ulimwambia,.." usinizingue,we si malaya tuu..!" ujue imekula kwako...
 
Inategemea na matusi yenyewe... Kama ulimwita "malaya" au ulimwambia,.." usinizingue,we si malaya tuu..!" ujue imekula kwako...
dah. . .Nahis kama ilihusika hii. . Ila what caused all this won't be given a chance again
 
Pokea like mkuu ingawa natumia simu.
 
dah. . .Nahis kama ilihusika hii. . Ila what caused all this won't be given a chance again

Ndiyo.. Au midume mingine inatukana wanawake ... Mfano... Wanawake hawaaminikiii..! Mwanamke bora mamangu tu! wakati hapo yuko na mpenzi wake.. Unategemea nini hapo!
 
Wapo watu wameshakupa ushauri mwingi tu, wasi wasi wangu isiwe kuwa bado umelewa halafu ushauri ukashindwa kuuelewa
 
Jana ililetwa hapa mmoja karudi home amevaa ndomu iliyojaa mchuzi, huyo kasingizia pombe! Huyu wa leo naye mitusi hadi kidogo mtoto wa watu apate mtikisiko wa ubongo! Na yeye ukiuliza sababu....pombe!! Hivi mtu usipokunywa pombe unapungukiwa nini hasa???
 
Badala ya kumshauri aache kilevi,unamshauri awe ananunua ngono... Unahitaji kunoa sana uwezo wako wa kumshauri mtu!
 
Badala ya kumshauri aache kilevi,unamshauri awe ananunua ngono... Unahitaji kunoa sana uwezo wako wa kumshauri mtu!

wahena nao wanasema. . . .Kwenye mengi,chukua yakufaayo. .Wacha yasikufaayo. . .
 
hahahahahaha. .Imeanza kwa kunchekesha. .Ila imeishia serious. . .Mkuu. . .Ntakujibu nikisha anza experience mpya. .Siitaki tena pombe ase
 
Last edited by a moderator:
Umesha blow your second and third chance, just face it!
 
dah umeona eeh......
ila now nimekoma ase....big tyme:A S cry::A S cry::A S cry:
 
i know mydr.....and up to real ChaNGes for real.....(help me God)
 
duh, wewe unatakiwa kuishi na kichwa panzi kama mie, nikilewa huwa nasambaza miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…