Ijumaa ilifanyika interview ya z anton na ferooz Kwenye kipindi Cha block 89 Cha wasafifm ile interview was superb Ila nimependa pale jonijo alivyonuuliza swali ferooz ngoma ipi zako zote uliona uliandika Sana? Ferooz akamjibu ngoma ya starehe z Anton akapiga meza na kusimama na kumshika mkono ferooz kuonesha hata yeye hiyo ngoma anaielewa Sana.Hapa z Anton ameonesha ukubwa kwa kukubali kazi ya mwenzake waziwazi japo nae alifanya vizuri kipindi hiko lakini tukija wasanii wetu wasasa ni nadra Sana kukuta msanii mkubwa kukubali kazi ya mkubwa mwenzako au kizuri alichofanya mwenzako wengine wanakimbia interview akiulizwa kuhusu msanii mwenzake.