MduduWashawasha
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 1,653
- 603
Jemeni kuna nyimbo moja ya Msondo Ngoma aloimba Tx William, Nadhani wengi wenu humu mtakua mnaijua, inayosema.. "Wanaume tumeumbwa mateso! mateso!...kuhangaika...na kupata shida sana...." Hii nyimbo kila nikiisikia huwa najisemea moyoni. " mmh..afadhali nimehama huko hakufai mateso matupu..", Wanaume wengi siku hizi wakiona maisha yamewashinda, utasikia wamejitundika!! Kwa nini jamani ujiue?? Tafuta namna nyingine ya kuweza kuishi lakini sio kujiua!! Nadhani mpaka hapo utakuwa umeshaelewa namna nyingine ya kuishi.......

asante sana Yo Yo, kwa kunipa moyo, maana wote wamenijia juu, wakati hakuna mtu nilomtukana, ukweli unauma!! Yo Yo una busara sana, unajua haki za msingi, huna ubaguzi, God bless you
Hee sikuwa nimekuelewa kwa maana ya kuhama kumbe ............. sawa mhishiwa Bwabwa.
sorry,Which god? I hope not the one that i know.
mwana wa SHETANI NA KUZIMU INAONEKA NDIYO MAKAZI YAKO hayo mawaidha humu siyo mahali pake mwanaharamu we!!Jemeni kuna nyimbo moja ya Msondo Ngoma aloimba Tx William, Nadhani wengi wenu humu mtakua mnaijua, inayosema.. "Wanaume tumeumbwa mateso! mateso!...kuhangaika...na kupata shida sana...." Hii nyimbo kila nikiisikia huwa najisemea moyoni. " mmh..afadhali nimehama huko hakufai mateso matupu..", Wanaume wengi siku hizi wakiona maisha yamewashinda, utasikia wamejitundika!! Kwa nini jamani ujiue?? Tafuta namna nyingine ya kuweza kuishi lakini sio kujiua!! Nadhani mpaka hapo utakuwa umeshaelewa namna nyingine ya kuishi.......