Nimambo mengi tumeyafanya kwa wapenzi wetu.

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Niukweli usiopingika tunapokuwa kwenye mapenzi huwa kuna matukio mengi ya kusisimua mazuri na mabaya na mpenzi wako!na mkisha achana utegemea ni njia zipi ziliwafanya mtengane lakini kwa yote kuna vitu ubaki kichwani mwako ukivikumbuka katika kipindi chenu cha mahusiano..Je wewe unakumbuka nini kwa mpenzi wako wa zamani??
 
mmmh, we unakumbuka nini kwanza?
Afu ntakuambia.
 
hivi matapishi ukishayatapika utataka kuyakumbuka mweli?
 
Mi nikiwa na wasasa sikumbuki wazamani..Muda wao ulipita!!
 
kuna mtu nilimfanyia mambo makubwa mazuri, baadae nikagundua mie bonge la mjinga, nikamwaga mazima, i see.....umenikumbusha mbali sana.....
 
kuna mtu nilimfanyia mambo makubwa mazuri, baadae nikagundua mie bonge la mjinga, nikamwaga mazima, i see.....umenikumbusha mbali sana.....
Ahaaaaa mimi nilipigishwa msele mahali fulani ya kila siku saa kumi nafata na kumpeleka kimara kwa miaka2!!dah nilipokuja kustuka nikaanza sababu za gari mbofu!!
 
alikuwa akiniambia bila kula loli papu yangu basi nisimguse......OVER!!
 
Me cna cha kukumbuka,sanasana nakumbuka vipondo vyake tu anaponifuma chobingo.
 
tigo expres ur self mmoja alikua anapenda iyo mambo bila ivo utakesha
 
Hahahaaaa sometimes nikikaa najicheka mwenyewe, nawaza hivi mie nilikuwa mzima kweli au kuna
mtu alinishikia akili?

Loh......!!!!!

Ahaaaaa mimi nilipigishwa msele mahali fulani ya kila siku saa kumi nafata na kumpeleka kimara kwa miaka2!!dah nilipokuja kustuka nikaanza sababu za gari mbofu!!
 
Kwa kweli mimi nakumbuka enzi zile alivyokuwa anakuja home kunitongoza kwa kuwa mimi nilikuwa mwoga wa wanawake nilikuwa nakimbia na kwenda kujifucha juu ya mti.
 
mi nakumbuka muda c mrefu lakini nlikuwa nipo tayari hata kama nina buku kwenye simu nimuhamishie yote alafu mm nibaki cna k2 ilimradi kaomba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…