Nime-fall in love huku JF...

VentureCapitalist

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2018
Posts
403
Reaction score
545
Katika hali ya kutatanisha nilijikuta nimefall in love na mwana JF mwenzangu. Tulianza kimzaha lakini baadae kizaha zaha! Radi HUPIGA mara moja.

Bahati mbaya shetani aliingilia kati na kuzua taharuki kwenye mahusiano yetu! Nitampata wapi huyu binti mpaka namba za simu kabadilisha!

Ni pale unapomkosa mtu katika maisha yako ndio unatambua umuhimu wake.

My future wife please rudi.
 
Ni pale unapomkosa mtu katika maisha yako ndio unatambua umuhimu wake.!!!![emoji848][emoji2827]
Majuto huja mwishoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…