Nime mcheat Mke wangu akagundua naye akalipiza kuwa sasa tupo ngoma draw...tuanze upya

Hatar sana!
Men cheat for sex but women cheat for love.
BE carefull with sch kind of women
 
Kabisa mkuu, na akijidai kusema mbona wewe ulifanya ni kumpiga chini tu.
Ndo maana yake....nashangaa jamaa kawa wabaridi jamaa kampiga hadi picha...mamaeee. mwanamke akicheat hawezi kuacha tofauti na mwanaume. So hata kama now anaona wako even ajue tu kuwa jamaa huyo atakuwa anajipigia tu kama kawa.
 
Ogopa mtu anayependa kulipiza visasi mshauri ampige chini tu
 
Ndo maana yake....nashangaa jamaa kawa wabaridi jamaa kampiga hadi picha...mamaeee. mwanamke akicheat hawezi kuacha tofauti na mwanaume. So hata kama now anaona wako even ajue tu kuwa jamaa huyo atakuwa anajipigia tu kama kawa.
sema gu dume bora atafute dume mpya
 
Pole yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…