[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sawaaaa
Najua ni agizo kutoka juu
Sijui tulimkosea nini wanawake huwa namuona ona
MBITIYAZA umenichekesha wallah duuuh!!
Nisubiri kwa hamu zotehahahah! na jua litapotea .... watu na body zao! ...ukitaka kucheka ufe njoo moro hotels zenye swimm! yaan unaweza cheka had ukaanguka!waluguru hawa jaman! heheheh! siku nikifanikiwa kunasa picha nitakutumia!
hehehhehe
Umemiss nini kutoka kwangu?Kitambo sana sipo hewani nime wa miss sana wa Dada wa Jf
Mpwa naona unataka kucheza na fursaHivi huyo mdada ktk display picture yako jina lake linaanzia na herufi A...?
Mpwa naona unataka kucheza na fursa
[emoji3][emoji3][emoji3] itakuwa sasa najiuliza katumiss kutupa makavu yake auhuenda ana stress!anapataga maboya
[emoji3][emoji3][emoji3] itakuwa sasa najiuliza katumiss kutupa makavu yake au
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha ngj aje
AmezipataMsalimie mnoo jamanii... Hata sie twamhamu