Nimeacha kuishabikia Arsenal

Kwendraa.. Mashabiki Mahandazi kama nyie hamtakiwi..[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Chama langu hilo kitambo sana
Sema team ni full pressure
Sahvi

Ova
 
Man Utd poleni, sasa jamaa kila anakohamia ni Majanga.

Hii thread ni ya 2013, na huo ndo mwaka wa mwisho Man Utd kuchukua EPL.
 
Ubaki huko huko
 
Vipi bado kuna makombe huko uliko?
 
Mkuu wangu Mwana Mtoka Pabaya kwani kuhama timu ugomvi mbona wachezaji wanahama ha ha ha ha ha.Hivi huoni furaha niliyonayo baada ya kuhamia Man United.
Vipi furaha yako Mzee Baba bado inapimika kwenye mizani? Baada ya kumkong'oli huyu mume wenu Spurs sasa nahamishia attention kwa Wanteser United, kaa mkao wa kuhudumiwa.

Salamu zangu kwa Alexis Sanchoka na Likuku a.k.a Kubwa Jinga, waambie Aubaboy na Lacagoal wamekuja kuwasabahi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…