Nimeacha kuishabikia Arsenal

Nafasi ya nne inatuhusu 🙂
 
Ni hayo tu wakuu kwa leo.
 
Leo saa mbili tupo ufaransa na Renne,karibu sana
 
Arsenal hapo Ufaransa mbona mmetuaibisha? Ina maana hamjawaona wenzenu Man Utd walivyofanya?
 
Arsenaĺ sio tèam ni kikundi cha wahuni tu. Tena tunawasubiri Jumapili tuwachape goli nyingì katika uwanja wenu
 


Wanazi wa Arsenal ni hayo tu kwa leo naishia hapa.
 


Mbona haushangai Lowassa kuhama CCM na sasa karejea nyumbani unamshangaa Ngongo kuhamia chama kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…