Nimeacha kuishabikia Arsenal

Ulinena vema kabisa mkuu ukiwa Aseno ni rahisi sana kupata maradhi ya moyo hata taarifa ya WHO inasema kati ya wagonjwa kumi wa maradhi ya moyo saba ni mashabiki wa Aseno
 
Bado unaishabikia united mpaka leo????
 
Hivi Arsenal kamfunga Chelsea ?,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…