Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
haaahhah shemej wewe nakujua vzr sana wala sishangai tatizo la uyo mtu amesema ni mkewe so ni haki yake kutoa hela yaan we mtoa mada ndio mm ningekua mkeo na hela hutumi ukirudi unakuta mwanaume mwenzio ndani
wewe unadhani haliwi?Sasa ujuwe ataliwa kweupeee,
mtumie tu hiyo hela;
Unataka umuuze mtu? he he heNgoja nimshtue mtu kwamba kuna fursa hapa.. anakaa mitaa gani?
ndiyo tena hii haina stress kama kumsukuma mleviUnataka umuuze mtu? he he he
na mwanae anamwita babahaaahhah shemej wewe nakujua vzr sana wala sishangai tatizo la uyo mtu amesema ni mkewe so ni haki yake kutoa hela yaan we mtoa mada ndio mm ningekua mkeo na hela hutumi ukirudi unakuta mwanaume mwenzio ndani
Hongera sna mkuukwa uamzi mgumukama huo, wanaume wa DAR hawafai. Usije ukakyta wamesha mtundika mimba nyingine.Kwakweli lazima atakuwa kishamegwa na mnaendelea kumega, halafu mimi wa mkoani ndo nitunze??! aaah wapi.
Naona meseji zake akisema "kwahyo ndo hunitumii hela sio?!"...kumbe usikute anatype huku amekalia kitu hahahah!
Nilikuwa natuma hela kwaajili ya yake na mtoto, lakini saivi wapite kulia tu. Siwezi kulelea watu wa Dar.
Na pengine hapa DAR anakalia kigogo pia!!!Umefanya uamuzi wa busara sana mkuu manake hakuna namna; itabidi aongeze rate ya kumegwa ili ku-sustain maisha ya jiji!
Hata hivyo, mjini hatusemi amekalia kitu bali amekalia BOMBA ili uzidi kupata maumivu!
baba jinana mwanae anamwita baba
ha haha ndiyobaba jina
Kwakweli lazima atakuwa kishamegwa na mnaendelea kumega, halafu mimi wa mkoani ndo nitunze??! aaah wapi.
Naona meseji zake akisema "kwahyo ndo hunitumii hela sio?!"...kumbe usikute anatype huku amekalia kitu hahahah!
Nilikuwa natuma hela kwaajili ya yake na mtoto, lakini saivi wapite kulia tu. Siwezi kulelea watu wa Dar.
WanaJF,
Disclaimer: Naomba kwa mwenye kutoa ushauri asiegemee upande wowote*
Mimi ni moja kati ya vijana waliooa wakiwa na umri mdogo. Nilikuwa nina miaka 21 (now I'm 23) tu na ni kwasababu ya shinikizo la Bosi wangu aliyekuwa kama mlezi wangu kipindi hicho, maana nilimsimulia mazingira yangu ya ukuaji; ni yatima niliyekulia kwenye vituo vya watoto pia nilikuwa nimepitia hekaheka nyingi kama maisha ya mtaani, Mungu si athumani nikafanikiwa kufika chuo na kupata fani inayoeleweka.
Kingine kilicho leta msukumo wa kuoa ni ulimbukeni wa wanawake maana nilishika pesa hivyo nikawa nafantasize maisha ya mtu mwenye hela na aliyekulia maisha ya kawaida; wazazi, shule, ndugu, marafiki, kula bata, party kila wiki, mitoko n.k. Kwahiyo huwa nasema mke huyu alisaidia mimi kutulia maana pengine ningeambulia UKIMWI.
Lakini baada ya kuoa, na hata baada ya kupata mtoto 1, mambo yalianza kuniendea kombo kwa kasi na hakuna nilichofanya nikafanikiwa; iwe ni kujiajri, kutafuta kazi au kutulia kwenye jiji moja. Gharama ya kumantain familia hii na kipato cha kuyumba yumba kilifanya ugomvi usiishe ndani, afya zetu zizorote, na nikaingia kwenye ulevi mzito kuepuka stress ya kutofanikiwa kwenye malengo mbalimbali.
Sasahivi nimeirudisha familia ukweni kwa jina la likizo na mjukuu kutembelea bibi zake, na nimepata kazi mpya ambayo nikidumu nayo, inaenda kunifanya kuwa mmoja wa vijana wazito mjini...lakini sina amani kila nikifikiria gharama za familia na madhaifu ya mke k.v. kutokuwa mwepesi kuomba msamaha pale anapokosea, na ieleweke tupo Dini tofauti. Na nina mconsider "Non-submissive".
Ieleweke kuwa; nina heshimu sana harakati za kuifanya dunia a better place kwa kutozalisha mabinti ovyo, watoto wasio na malezi ya pande 2 na kutokuoa oa ovyo just bcoz u can..I BELIEVE IN FAMILY. Lakini nikiangalia umri wangu (pia watu wamekuwa wakinibeza kwa kuoa haraka vile, na wengine kukata tamaa ya kutowekeza kwangu). Maana wanaona ni kweli I'm fresh, lakini nina msalaba wa ndoa na familia.
Sasa lengo la kuomba ushauri huu, ni ili kupata tafsiri ya uamsho ambao umeanza kuota ndani yangu tangu wiki jana, kwamba I can forge a better life again...I can re-launch lost opportunities..she's not the first one to be abandoned, and your Son will grow on his own just as you did (did you know you'll reach this much?), Abandon the ship n.k.
Naomba usitumie huruma kunishauri, share facts, share ukweli. Maana hadi umri huu...hakuna huruma iliyowahi kunipa la maana. Mambo makubwa niliyofanikisha maishani ni kwa sababu ya "Cleverness", everybody who spends time with me, huwa anaishia kusema mimi ni kama Yakobo wa kwenye Biblia, yaani sio Extremely Smart, but I'm Extra Ordinary Clever to a point I almost can get away with anything...CLEAN.
Lengo ni kuanza maisha upya kwa kupigania ndoto za maisha yangu bila (mzigo wa) ndoa au familia, maana nategemea nguvu zangu mwenyewe, sina urithi sina ndugu...ni jeshi la mtu mmoja. Na mwanzoni kabla ya kuoa nilikuwa nikienda speed kali na nzuri sana.
Nawasilisha.
P.S. Mke hana shughuli, ni form 4 leaver. Nimeshajaribu kumtafutia kazi anashindwa, nikamfungulia biashara ya Hotel mtaji ukafia huko.
UPDATE:
Naona wengi wananukuu vibaya kipengele nilichosema kwamba mimi ni "Clever". Ni kwamba, apart from relationship/marriage failure I'm going through, I'm extremely talented; under the age of 23, I managed to secure 2 high profile jobs in Banks headquarters (names undisclosed)...I have a chain of man-work accomplishments ambazo hutaamini niki-unveil (and I won't do it here, it's not a proper platform)...Hapa nimeleta swala la familia nipate ushauri. FULL STOP. Pia madhaifu yangu nayajua fika; I'm arrogant and I have an exaggerated sense of self importance.
Wakuu,
Nadhani mnajua kina Lil Wayne na watoto wengi wa kishua utakuta ana kichuma flani hivi either juu ya jicho pembeni ya nyusi au kidevuni. Ni wapi wanafanyaga hizo shughuli kwa hapo Arusha, na bei yake ni kama sh ngapi? Pia ningependa kujua huwa kinawekwaje na pia kama kuna side-effects zozote.
Asanteni.
WanaJF,
HIvi karibuni nilileta habari ya Nafikiria kuitelekeza familia nianze maisha upya, sababu zangu ni hizi..
Kila zao humea na magugu. Namaanisha kuwa licha ya ushauri mzito nilioupata kwenye maoni yenu lakini hawakukosekana wa kunidhihaki na wa kunitusi hadi kwenye PM. Shukrani za dhati ziende kwa walioniandikia waraka mrefu wa kunisihi na kunielewesha why I'm wrong, nilistaajabu...kwamba how the heck some people will care about anonymous guy situation like this!
Watu wengi wamepinga mimi kutelekeza mwanetu, ila naweza kuachana na mke wangu and it's not that much of a big deal as long as ntafuata taratibu za Taraka.
Anyway, haya dio maamuzi niliyofikia na ni kwa ushawishi wa baadhi ya comments kama nilivyoziquote chini ya maamuzi yangu: NIMEAMUA KUMTALAKI MKE WANGU NA KULEA MWANANGU HADI UMRI WA KUMCHUKUA KWA MAMA YAKE UTAKAPO FIKA (niliambiwa ni 7 years), baada ya hapo sitaendelea kumtumia mwanamke huyu pesa ya matumizi ya mtoto bali nitamchukua na kumlea mwenyewe, pia inaweza isifike hiyo miaka 7 nikawa nimeshamchukua mwanangu.
Baadhi ya maoni ya wadau yaliyonifanya nifikie maamuzi haya ni kama ifuatavyo:
@Kaunga
Uliwahi mno kuoa. Tena dini au imani tofauti. Chakarika, na yeye msupport arudi shule, baada ya hiyo miaka 5 rudi kamtafute ukiona na yeye akiona inafaa kuoana basi oaneni upya lkn mkiwa imani moja…
@motonkafu
Nakubaliana na wewe wanawake wengine wanaleta gundu ndani hufanikiwi ng'o but akisafiri ata wiki unapata fursa kibao
@chinchilla coat
kama imeshindikana kabisa, na kweli kabisa kwamba huyo wife umeshindwa kumbadilisha achana nae,
ila nina wasiwasi inawezekana labda kutokana na immaturity yake au yako akawa mjeuri na asie mwelewa lakini akabadilika kadri atakavyo pevuka kiakili na kimaisha,
anyway mimi naamini sana kwenye family but sio kuishi na mtu unreasonable just for the sake of family
@Heaven Sent
Fine anaweza akamuacha huyo mke , but kumtelekeza mtoto wake ndo kinachonishangaza….
@Patience123
Immaturity ya mkewe inaweza ikawa chanzo cha mgogoro unaomkatisha tamaa dogo. Nimeshaona sana hii shida, wanawake wanao olewa na umri mdogo wengi wamekuwa 'headache' kwa waume zao au familia za waume zao…
@mvua
Leaving his wife is one thing, but abounding the child is another! …
@muxar
Do what you think is right and not what is fair,life has many to offer.Whether umefaulu or not,usimsahau mtoto.
@brenda18
We tafuta ukishakuwa vizuri utawarudia
NASHUKURU KWA WOTE WALIOGUSWA NA KWA NAMNA FLANI WAMESHIRIKI NIFIKIE MAAMUZI AMBAYO HAYATAATHIRI MAISHA YA MTOTO (in other sense, taraka is okay taratibu zikifuatwa) MAANA KAMA VILE MMOJA WENU ALIVYOSEMA KWAMBA; MAFANIKIO YA MTOTO HUTEGEMEA BABA YAKE 100%