Nimeacha pombe

We acha tu sisi ngoja tuendelee kugonga monde, ni raha sana. Awamu hii wengi wamepumzika kugonga vitu😀😀😀😀😀😀😀
 
Nina mwaka wa tatu huu tangu niache mvinyo. Ni raha sana. Enzi zangu nilikua kiongozi wa walevi. Asante Mungu
Uligombea na nani hadi ukamshinda na kuwa kiongozi wao. Je uliongoza tawi, wilaya, mkoa, au taifa. Je baada ya kujiuzulu unarudi tena kugombea kupitia chama ulichohamia kuunga mkono? Wapiga kura wako unewambia nini wakati unajiuzulu?
 
Hivi mtu ambaye hanywi pombe huwa ana starehe gani? Nikifikiria maisha bila pombe ni sawa na mwanamke bila k
 
Ficha ujinga wako
Yani unathubutu kukiri madhaifu mbele ya wanaume?

Kuacha pombe ni udhaifu mkubwa sana
 
Nina mwaka wa tatu huu tangu niache mvinyo. Ni raha sana. Enzi zangu nilikua kiongozi wa walevi. Asante Mungu
Hongera zetu sote kwa pamoja mkuu, mimi tangu niache pombe nimejikita kwenye biashara ya pikipiki (bodaboda) 8 nimewapa vijana kila wiki wananiletea money pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…