Erotica
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,513
- 1,735
Jana nimefikisha alama yangu ya 29. Nilitia nia ya dhati wakati nimefika miaka 20 kuwa
nikifikisha wapenzi 29 itakuwa mwihso wa kujihusisha na SEX. Mume wangu atakuwa ni wa 30.
Nimepita mengi kwenye mambo ya SEX, nimeona mengi na kila style na saizi.
Sasa inatosha! Kuanzia sasa nabadilika, akili na moyo wangu unataka hivo.
Ingawa napenda SEX penye nia pana njia. I am a good lover, nitaji love. Nitakuwa mke mwema na
mama mwema. nitam cherish mume wangu kwa masharti ya kusema nayeye ani cherish. nimeona
nisianze mbali sana, nishaanza kupeleka propasals kwa wana jf ambao nahisi wananifaa.
kusubiri nifatwe hali penye pontential nimepaona sio mpango!
Saizi nataka mwanaume wa kuingia naye katika mahusiano kabisa, nisitumie condom tupime
na afya zetu ikiwezekana hata nizae. tofauti ya sasa na kale sitakubali kudu hadi roho yangu iwe
inanifanya niumwe kama nilivo umwa juzi kati nikimuona. sikubali tu du hadi tufunge ndoa sitaki tena
kusali uongo uongo kila ninapotubu huku nikijua jioni yake naenda tena kudou.
wanajamvi najikabidhi kwenu kwa ushauri wa kuweza timiza nia yangu bila kushindwa hii azma yangu.
Nini Ero nifanye na nini niepuke? Makungwi wote wa mmu nitaomba tuition ya kuwa mke mwema.
Btw boyfie wa sasa wa mujini nimemuacha, hafai kuwa dady wala hubby. yeye anafaa ushikaji tu!
mwaaaaaaaaah! I feel born again. :whoo: