Jana nimefikisha alama yangu ya 29. Nilitia nia ya dhati wakati nimefika miaka 20 kuwa
nikifikisha wapenzi 29 itakuwa mwihso wa kujihusisha na SEX. Mume wangu atakuwa ni wa 30.
Nimepita mengi kwenye mambo ya SEX, nimeona mengi na kila style na saizi.
Sasa inatosha! Kuanzia sasa nabadilika, akili na moyo wangu unataka hivo.
Ingawa napenda SEX penye nia pana njia. I am a good lover, nitaji love. Nitakuwa mke mwema na
mama mwema. nitam cherish mume wangu kwa masharti ya kusema nayeye ani cherish. nimeona
nisianze mbali sana, nishaanza kupeleka propasals kwa wana jf ambao nahisi wananifaa.
kusubiri nifatwe hali penye pontential nimepaona sio mpango!
Saizi nataka mwanaume wa kuingia naye katika mahusiano kabisa, nisitumie condom tupime
na afya zetu ikiwezekana hata nizae. tofauti ya sasa na kale sitakubali kudu hadi roho yangu iwe
inanifanya niumwe kama nilivo umwa juzi kati nikimuona. sikubali tu du hadi tufunge ndoa sitaki tena
kusali uongo uongo kila ninapotubu huku nikijua jioni yake naenda tena kudou.
wanajamvi najikabidhi kwenu kwa ushauri wa kuweza timiza nia yangu bila kushindwa hii azma yangu.
Nini Ero nifanye na nini niepuke? Makungwi wote wa mmu nitaomba tuition ya kuwa mke mwema.
Btw boyfie wa sasa wa mujini nimemuacha, hafai kuwa dady wala hubby. yeye anafaa ushikaji tu!
mwaaaaaaaaah! I feel born again. :whoo:
Congs kwa maamuzi magumu...bt u need 1more thing, "kuyasimamia maamuzi yako"
hapo ulipo ushamaliza utoto na umeamua ku-setle... lakini utakayempata huwezi jua kama kweli na yeye kamaliza utoto au bado anataka kurukaruka akidhani we ni mwenzie... ushauri wangu, jijengee heshima kwa jamii na mume mwema atatokea huko ila hapa JF kumpata itakuwa ngumu maana ULIVOJIANIKA ...kaaa!! I guess unaitaji hata kubadili hata jina lako..!
kiufupi hakuna wanaume atapenda kuskia history ya mwenzi wake, inachefua na inapunguza hamu ya NGONO! keep ur mouth shut, au uongee +ve words ili kuijenga familia yako... NIhaYO tu EROTICA
Malengo hayakuwa kuwa nawo maishani, ilikua kwa ajili ya kula maisha na sex.
Umeshazoea kubembelezwaaaaa!!! au sio sasa wasubiri waje wanaojua hiyo michezo.
Mimi nimeweka proposal mezani na moyo wako unao hapo hapo sasa hiyo probation period ya nini?If it is a yes a yes if a no a no.Hakuna kuuma kucha hapa zama hizo zimepita zamani.Mwaka mmoja nakusubiri wewe tu wakati ushafikisha wapenzi 29,kasema nani!!!
Such a kwita. nimeweka viwango vyangu vya kupimia. bibi yangu alishaniambiaga nyie
wanaume sio ndugu zetu hata nikulambe koni. kukuambia tu nasubiri mwaka
umeshaniona siko creious. u & me nani hayupo creious? unataka mie niwe mke wako
unataka tuoane kesho? nimejipanga Ambitious. sidanganyiki!
Sibembelezwi wala sibembelezi! sifanyagi mambo yangu kwa kukurupuka hivo nisipopata patna
anaefaa kuwa mume ni heri nikarudi maisha yangu ya kawaida nikazaa na yeyote na life goz on!
siwezi trit ndoa kwa vigezo vya propozo. mie tunaoana nahakikisha tunapendana na utamke kwa kinywa chako.
ili ukinicheat or ukinitenda isiwe kazi kwangu kukusaza! hutaki ondoka! ulipoweka hiyo propozo
ulitumia vigezo gani hali unajua nishalala na hao 29, ukute hata zaidi wengine nilikuwa nasahau kuhesab!
ticah nice step foward! u hav decided now the actions are required all the best! believe me utampata wako wa moyoni, wa kukukuna usiku na mchana, japo 'danganya danganya' usiikatae ni chachu ya mapenzi, kama royco kwenye mboga!
nakuona tu. hajambo FirstLady1? mie simpendi.
sbb alinipeperushia. akitaka awe kungwi wangu nitamsamehe.
Ni maamuzi mazuri Ero mie nakutakia kila la kheri umpate umtakaye ingawa kwa CV uloweka hapa wengine wanaweza kusita kujitokeza kwa kuogopa experience ulonayo maaana kwa mtizamo wangu u must be highly experienced and u need someone with enough experience maana najua hao 29 hawakuonja asali na kuingia mitini wengi walirudia several time.....inanikumbusha signature ya SMILE...
elly_black, mi avatar yako tu, kha!Tabu kweli kweli wanaume 29 umetembea nao na bado unataka wanaume mwingine we mkali licha ya hivyo unaonaje ukaipumuzisha mashine yako itoke kwenye used iwe brand new kama ya mtoto mdogo wa miezi 6 ila hongera kwa kutumikia vifaa tofauti tofauti.
(A BIG LIAR SHOULD HAVE A BIG MEMORY.)