Nimeacha uzinzi, hela ya gesti nawekeza VICOBA!

Nimeacha uzinzi, hela ya gesti nawekeza VICOBA!

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Ndugu zangu nimeacha rasmi uzinzi kuhangaika na mademu wa kuokota njiani. Toka 1997 sijaona faida ya uzinzi zaidi ya kutumia gharama kubwa na kujiweka hatarini na magonjwa ya UKIMWI/Zinaa/COVID.

Pesa ya kulipia gesti na pombe napeleka VICOBA tukutane May 2022.
 
Mkuuuu nikupe hongera sana hio pesa itumie kula chakula kizuri pamoja na mpenzi wako anaekuja geto mmoja
 
Kuacha uasherati na uzinzi (kwa ujumla tunaita uchafu), ni kazi sana pasipo kujiwakilisha kwa Mungu wako katika imani yako. Ni hofu ya Mungu pekee ndio inaweza kukutoa huko moja kwa moja.. ila bila hivyo ni kama likizo isiyo na malipo tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ungekuwa billionaire au?
 
Usiogope mkuu hilo linawezekana kabisa kuuacha uzinifu.Na maisha yako yatabadilika postively.Ijapo kuna aina flani hiv ya life style lazima utalazimika kuiacha,mwanzoni kuna maumivu flani hiv lakini uta peak up. ikiwa utahitaji suport flan hivi,njoo pm tusaidiane pale utakapoona inafaa.
 
Hongera. Ili uwe na uhakika wa kuacha kabisa. Mrudie Mungu. Mpokee Yesu awe Bwana na mwokozi wa maisha yako, hapo ndo utapata ushindi dhidi ya dhambi kwa uhakika zaidi.

Warumi 10:9

Kwa sababu, ukimkiri Yesu kwa kinywa chako ya kuwa ni Bwana, na kuamini moyoni mwako ya kuwa Mungu alimfufua katika wafu, utaokoka.
 
Pata pesa tujue tabia yako, May 2022 tunakusubiri kwenye uzi wa kula tunda kimasihara Mkuu ulete mrejesho
 
Wanaume hapo pagumu sana kukwepa tumeumbiwa tamaa in nature, hongera kwa kupunguza hiyo tabia ambayo ipo damuni.
 
Mzee toka 1997 hadi leo bado unanunua malaya..basi hata hiyo ela ya viccoba hutafanya la maana ukiipata
 
Back
Top Bottom