mkunga wa jadi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2025
- 208
- 458
You are useless like letter "k" in the word knife.Rasmi leo nimeamua kuachan na mke wangu baada ya kuishi nae kwenye ndoa for almost mwezi moja baada ya matokea yake ya chuo kupata GPA ya 4.4 mke wangu nilimuoa akiwa mwaka wa mwisho chuo kikuu na miaka yote alikuwa anapata GpA above 4.5 ila haya matokeo ya mwisho amepata 4.4 hii kitu imenikasirisha so nimeamua kumpa taraka papo hapo nimeamua kuwatafuta ma internship hawa wanaofanya kazi kwenye hospital ya froedtert hospital hapa maddison Wisconsin
Mke wangu alikuwa anasoma chuo kikuu cha Wisconsin university, Milwaukee na mimi nafanya kazi hapa foedtert hospital hapa Wisconsin# nitaishi vp na mke mburula hivi ambaye anapata GPA below 4.5 hivi kiuhalisia unapataje GPA below 4.5? Si ataniletea watoto mburula na majuha huyu?
Mkunga wa Jadi
Kwasasa, potosi street house number 3600,Madison Wisconsin.
Rasmi leo nimeamua kuachan na mke wangu baada ya kuishi nae kwenye ndoa for almost mwezi moja baada ya matokea yake ya chuo kupata GPA ya 4.4 mke wangu nilimuoa akiwa mwaka wa mwisho chuo kikuu na miaka yote alikuwa anapata GpA above 4.5 ila haya matokeo ya mwisho amepata 4.4 hii kitu imenikasirisha so nimeamua kumpa taraka papo hapo nimeamua kuwatafuta ma internship hawa wanaofanya kazi kwenye hospital ya froedtert hospital hapa maddison Wisconsin
Mke wangu alikuwa anasoma chuo kikuu cha Wisconsin university, Milwaukee na mimi nafanya kazi hapa foedtert hospital hapa Wisconsin# nitaishi vp na mke mburula hivi ambaye anapata GPA below 4.5 hivi kiuhalisia unapataje GPA below 4.5? Si ataniletea watoto mburula na majuha huyu?
Mkunga wa Jadi
Kwasasa, potosi street house number 3600,Madison Wisconsin.
Kama mumeo mushi alivyokuwa na shida piaMUMEO ATAKUWA NA KAZI SANA. HALAFU UJE ULALAMIKE WANAUME WABAYA AU HUPATI MUME.
Endelea kujikuta serious tu chakula cha funza weweYou are useless like letter "k" in the word knife.
MUMEO ATAKUWA NA KAZI SANA. HALAFU UJE ULALAMIKE WANAUME WABAYA AU HUPATI MUME. KUMBE NA SISI WANAUME TUNAANGALIA WANAWAKE WENYE AKILIKama mumeo mushi alivyokuwa na shida pia
,Naona maisha ya Buza kwa Rulenge yanakupagawisha sana nitumie mpesa yako nikutumie pesa kupitia western union ukale na mumeoMUMEO ATAKUWA NA KAZI SANA. HALAFU UJE ULALAMIKE WANAUME WABAYA AU HUPATI MUME. KUMBE NA SISI WANAUME TUNAANGALIA WANAWAKE WENYE AKILI
Nipo jamii forum before mumeo hajazaliwaJoined julai 2025
Mkuu naomba nitangulize samahani Sina lengo la kukukosea heshima ila kinachoonekana hapo kupitia hayo maelezo yako ni kwamba wewe umejaliwa elimu lakini umekosa akili ilipaswa utafute mwanamke mwenye akili hata kama hana elimu angekusaidia sanaRasmi leo nimeamua kuachana na mke wangu baada ya kuishi nae kwenye ndoa for almost mwezi moja baada ya matokea yake ya chuo kupata GPA ya 4.4 mke wangu nilimuoa akiwa mwaka wa mwisho chuo kikuu na miaka yote alikuwa anapata GpA above 4.5 ila haya matokeo ya mwisho amepata 4.4 hii kitu imenikasirisha
So nimeamua kumpa talaka papo hapo nimeamua kuwatafuta ma internship hawa wanaofanya kazi kwenye hospital ya froedtert hospital hapa maddison Wisconsin
Mke wangu alikuwa anasoma chuo kikuu cha Wisconsin university, Milwaukee na mimi nafanya kazi hapa foedtert hospital hapa Wisconsin# nitaishi vipi na mke mburula hivi ambaye anapata GPA below 4.5 hivi kiuhalisia unapataje GPA below 4.5? Si ataniletea watoto mburula na majuha huyu?
Mkunga wa Jadi
Kwasasa, potosi street house number 3600,Madison Wisconsin.