Nimeachana na mke wangu,baada ya kugundua kwamba alipata GPA below 4.5

๐Ÿšฎ
 
Tangu lini Marekani wanatumia GPA ya 5??? Hebu amka rudi shule kasome...
 
Do anything for clout..Humu huwa mnaandikaga upumbavu wowote unaokuja kichwani.
 
Kosa lingine hakuna Winsconsin University... bali University of Winsconsin.

so basically kwa GPA ya 4.5 means umesoma Tz ambao wanatumia 5. Marekani wanatumia 4. Hii ikukae akilini kwanza usidanganye watu humu
 
Unajaribu kuwa mtunzi wa story kama erick shigongo, pambana sana ila sina uhakika kama kwa sasa kuna wapenda hadithi kama zamani.
 
You are useless ๐Ÿ˜”
"Two things are infinity: the universe and human stupidity and I'm not sure about universe."
Albert Einstein
 
Wisconsin ya Mbozi ama!? Hii โ˜•๏ธ ya leo mbona ina sukari nyingi sana ๐Ÿ˜ƒ
 
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ